Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Kwani wabongo hawapo nchi jirani?Nilichogundua Bongo kuna wahamiaji haramu wengi sana kutoka nchi jirani / mipakani wanaozungumza kiswahili , wakiingia katika nchi yetu wanajifanya ni wa Bongo. Siku tukiwa serious kufanya msako wengi sana tutawarudisha mwakwao na usikute hadi wewe unayesoma hapa
nilishawahi kuandika icho kitu, mods wakanipiga pin nisichangie chochote kinachohusu international forums. sijui niligusa maslahi yepi ya huyo moderator aliyenipiga pin.Nilichogundua Bongo kuna wahamiaji haramu wengi sana kutoka nchi jirani / mipakani wanaozungumza kiswahili , wakiingia katika nchi yetu wanajifanya ni wa Bongo. Siku tukiwa serious kufanya msako wengi sana tutawarudisha mwakwao na usikute hadi wewe unayesoma hapa
Hahhaaaa , kaka nikiwa Rais nitakupa wizarq ya mambo ya ndani / ulinziWengine kama 15 hivi wanashuka hapa shekilango muda huu na BM ya Nairobi
Pengine na yeye ni illegal Migrantnilishawahi kuandika icho kitu, mods wakanipiga pin nisichangie chochote kinachohusu international forums. sijui niligusa maslahi yepi ya huyo moderator aliyenipiga pin.
Mojawapo kati ya wizara ngumuHahhaaaa , kaka nikiwa Rais nitakupa wizarq ya mambo ya ndani / ulinzi
sikuelewa hadi leo, nilichangia kitu kuhusu wanyarwanda, wamenifungia maisha nadhani kuchangia kwenye international forums, hadi naogopa kuchangia vitu. hata hivyo, kama mtu ameingia nchini akapata vibali na uraia, hakuna shida, na ndicho nilichokuwa nalenga. ajabu yake, nikapiga nyundo kutochangia forum nzima.Pengine na yeye ni illegal Migrant
Mkuu njoo tusalimiane nipo hapa ofisi ya allysWengine kama 15 hivi wanashuka hapa shekilango muda huu na BM ya Nairobi
Kuna wengine wamepata vitambulisho vya NIDA na kadi za vyama vya siasa.Nilichogundua Bongo kuna wahamiaji haramu wengi sana kutoka nchi jirani / mipakani wanaozungumza kiswahili, wakiingia katika nchi yetu wanajifanya ni wa Bongo. Siku tukiwa serious kufanya msako wengi sana tutawarudisha mwakwao na usikute hadi wewe unayesoma hapa
Mkuu ni hatari sana, yawezekana serikali yetu kama ilikuwa na budget ya kuhudumia 40m people according to the last census now inaweza kuwa inahudumia 60mNilichogundua Bongo kuna wahamiaji haramu wengi sana kutoka nchi jirani / mipakani wanaozungumza kiswahili , wakiingia katika nchi yetu wanajifanya ni wa Bongo. Siku tukiwa serious kufanya msako wengi sana tutawarudisha mwakwao na usikute hadi wewe unayesoma hapa
Huyo MOD ni mhamiaji haramunilishawahi kuandika icho kitu, mods wakanipiga pin nisichangie chochote kinachohusu international forums. sijui niligusa maslahi yepi ya huyo moderator aliyenipiga pin.
mwashamba ni jina la mnyiha, though wapo watu ambao ili kuficha identity huwa wanachagu jina la kabila la hapa. kama yupo kisheria au kama ana uraia,sisi sote kwa namna moja au nyingine asili yetu iwe upande wa mama au baba utakuta ni nje ya mipaka. kwa kina mwashamba kwa mfano, utawakuta mbozi,sumbawanga na zambia. na hatuwezi kusema sio raia kwa kuwa wamezaliwa upande wa tz.LUCAS MWASHAMBA,Tlaatlaah KILA SIKU KUMSIFU MAMA KUMBE WAKONGO WA GOMA KARIBU NA MPAKA WA BURUNDI
Dah naelekea Lumumba mkuu labda nikirudi🙏🏿Mkuu njoo tusalimiane nipo hapa ofisi ya allys
Inashangaza sana , hakuna uhuru wa kujieleza , nchi hii wapo wengi halafu wengine wamepenya hadi kwenye system za serikalinisikuelewa hadi leo, nilichangia kitu kuhusu wanyarwanda, wamenifungia maisha nadhani kuchangia kwenye international forums, hadi naogopa kuchangia vitu. hata hivyo, kama mtu ameingia nchini akapata vibali na uraia, hakuna shida, na ndicho nilichokuwa nalenga. ajabu yake, nikapiga nyundo kutochangia forum nzima.
PoaDah naelekea Lumumba mkuu labda nikirudi🙏🏿
sidhani, naona aliamka vibaya tu dhidi yangu hata sijui kwa nini.Huyo MOD ni mhamiaji haramu