Nilichogundua Bongo tuna wahamiaji haramu wengi sana

Kuna jamaa wapo huku kwetu,huwa wakilewa wanasimulia walivyoficha maguruneti chini ya mti wa miembe huko mkoani geita

Na wanaishi vzur kabisa,hakuna anaewabuguzi
 
Inashangaza sana , hakuna uhuru wa kujieleza , nchi hii wapo wengi halafu wengine wamepenya hadi kwenye system za serikalini
mkuu nakushauri jadili kwa umakini, utapigwa ban. mimi ni mtu wa Bukoba, nilikuwa naongea kwa experience, yet wakapiga ban, ila nilikuwa na uzalendo tu kwa nchi. na sikuwa na nia njema, wangetoa hata adhabu ya kipindi kufupi basi, wao wakapiga stop kabisa. nikaona haina haja kulumbana nao kwani hata hivyo mtandao ni wa kwao, na mimi isiwezi kutengeneza wa kwangu.
 
Mods nao ni binadamu wenye hisia, ukiipiga spana dini mojawapo kati uislam au ukristo basi uzi wako hauchujui round wanaufuta.
Siku hizi nyuzi zinafutwa sana.
 
nadhani Mkuu Max aweke kikao na vijana wake, wanamwangusha. ushauri tu.
 
Hakuna muhamiaji haramu, hili ni dhana ya kikoloni, mtu yoyote mweusi ni ndugu yako.
Tuacheni kubaguana wenyewe kwa wenyewe
Wapewe vibali wasongeshe maisha
 
Kwa maelezo yako sijaona baya ulilolisema ,ila nahisi ulipiga kwenye mshono
 
Siku mmja jamaa mja wa Kenya alikuja church akiomba nauli arudi kwao kenya
 
Siku mmja jamaa mja wa Kenya alikuja church akiomba nauli arudi kwao kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…