We kalia hivyo hivyo siku wafugaji wavamie eneo lako ndio utafahamu uhamiaji wa ndaniHakuna muhamiaji haramu, hili ni dhana ya kikoloni, mtu yoyote mweusi ni ndugu yako.
Tuacheni kubaguana wenyewe kwa wenyewe
Wapewe vibali wasongeshe maisha
Hawa niliowataja wametuweka boda over two hours..sijui walikuwa na shida gani huko na uhamiajiHio sio mentality ya mtu makini na mzalendo
Kipimo chako cha uzalendo ni kuwakamata watu weusi wenzako wanaokimbia dhiki na kuwarudisha kwenye dhiki au kuwatafutia suluhu ya matatizo yao?Hio sio mentality ya mtu makini na mzalendo
Ukiona hivyo gutukaKazi ipo kumbe wana supporters
Charity begins at home...! Kwani sisi tuna ziada ya ajira mpaka tuzigawe?Kipimo chako cha uzalendo ni kuwakamata watu weusi wenzako wanaokimbia dhiki na kuwarudisha kwenye dhiki au kuwatafutia suluhu ya matatizo yao?
Uzalendo siyo kuvaaa manguo ya chama na kuimba imba mapambio na kufanya uchawa hapa JF
Ndg unakosea sana napingana vikali na mtizamo wako potofu, hivi unajua maana ya usalama wa nchi ?? Utajikiaje familia yako ikivamiwa na jambazi akafanya maafa halafu akimbie mshindwe hata pakuanzia kumtafuta ?? Kwa sababu sio raia wa nchi yako hakuna mwenye taarifa nayeKipimo chako cha uzalendo ni kuwakamata watu weusi wenzako wanaokimbia dhiki na kuwarudisha kwenye dhiki au kuwatafutia suluhu ya matatizo yao?
Uzalendo siyo kuvaaa manguo ya chama na kuimba imba mapambio na kufanya uchawa hapa JF
Uhalifu una namna yake ya kushughulikiwa, mualifu ni muhalifu awe mzawa au mgeniNdg unakosea sana napingana vikali na mtizamo wako potofu, hivi unajua maana ya usalama wa nchi ?? Utajikiaje familia yako ikivamiwa na jambazi akafanya maafa halafu akimbie mshindwe hata pakuanzia kumtafuta ?? Kwa sababu sio raia wa nchi yako hakuna mwenye taarifa naye
ndio unajua leo kijana? pole we[emoji28], hata nanii wazazi wake ni wahamiaji but anavojifanya mtz hadi uongozi taasisi nyeti kapewa[emoji57]Nilichogundua Bongo kuna wahamiaji haramu wengi sana kutoka nchi jirani / mipakani wanaozungumza kiswahili, wakiingia katika nchi yetu wanajifanya ni wa Bongo. Siku tukiwa serious kufanya msako wengi sana tutawarudisha mwakwao na usikute hadi wewe unayesoma hapa
Wadada wa kazi za ndani mnaowatoa Kagera, Kigoma, Tunduma ni raia wa Burundi na MalawiNilichogundua Bongo kuna wahamiaji haramu wengi sana kutoka nchi jirani / mipakani wanaozungumza kiswahili, wakiingia katika nchi yetu wanajifanya ni wa Bongo. Siku tukiwa serious kufanya msako wengi sana tutawarudisha mwakwao na usikute hadi wewe unayesoma hapa
Wote si ni watu shida niniNilichogundua Bongo kuna wahamiaji haramu wengi sana kutoka nchi jirani / mipakani wanaozungumza kiswahili, wakiingia katika nchi yetu wanajifanya ni wa Bongo. Siku tukiwa serious kufanya msako wengi sana tutawarudisha mwakwao na usikute hadi wewe unayesoma hapa
Ndg kwa mentality yako wewe ni mtu hatari sana kushika nafasi za juu za uongozi utatupoteza kama TaifaUhalifu una namna yake ya kushughulikiwa, mualifu ni muhalifu awe mzawa au mgeni
Taifa haliwezi kutokua salama eti kwasababu ya wahamiaji.
Marekani ina wahamiaji chungu mzima, South Afrika ndiyo usiseme
Kumuita mtu haramu ni udhalilishaji, amehamia kwa namna isiyo rasmi, arasimishwe.
Bado taifa linahitaji watu, watu wetu wako busy wanacheza kamari na kukaa vijiweni
Isijekuwa umeamua kuunga mkono juhudi za mama,maana hiyo lumumba mhhhDah naelekea Lumumba mkuu labda nikirudi🙏🏿
Lakini boda si walikaguliwa? Na pale maeneo ya Same si kuna ukaguzi wa immigration?Hawa niliowataja wametuweka boda over two hours..sijui walikuwa na shida gani huko na uhamiaji
Njia nzima wanashangaa kila kitu.. Hawajui hata neno moja la Kiswahili
Kuna utaratibu wa nchi kupokea wageni ,Wote si ni watu shida nini
Wakija kwa utaratibu wa kufwata sheria za nchi hakuna ubaya wowoteWadada wa kazi za ndani mnaowatoa Kagera, Kigoma, Tunduma ni raia wa Burundi na Malawi
Hayati Mwalimu Nyerere alitupa muongozo kwenye hili jambo, alipigania uhuru wa nchi nyingi za Afrika.Ndg kwa mentality yako wewe ni mtu hatari sana kushika nafasi za juu za uongozi utatupoteza kama Taifa
Nchi bado ina matatizo.Uhalifu una namna yake ya kushughulikiwa, mualifu ni muhalifu awe mzawa au mgeni
Taifa haliwezi kutokua salama eti kwasababu ya wahamiaji.
Marekani ina wahamiaji chungu mzima, South Afrika ndiyo usiseme
Kumuita mtu haramu ni udhalilishaji, amehamia kwa namna isiyo rasmi, arasimishwe.
Bado taifa linahitaji watu, watu wetu wako busy wanacheza kamari na kukaa vijiweni
Napata mashaka na uraia wako ... wewe si Mtanzania ... usingeweza kupinga hilo suala ambalo lina faida kwa usalama wa Taifa letu.Hayati Mwalimu Nyerere alitupa muongozo kwenye hili jambo, alipigania uhuru wa nchi nyingi za Afrika.
Kutetea hoja ya Afrika kwanza au muungano wa nchi za Afrika kwako ni jambo hatari?
Kwangu mimi nakuona wewe ni mtu naive, hoja zako ni za kienyeji sana, tena nikikumulika wewe ni mkabila
Ur so smart kaka...Nchi bado ina matatizo.
Huwezi kulipa kodi na kutumia raslimali kidogo ulizonazo KULEA wahamiaji.
Hakuna nchi hiyo duniani
marekani tu kuna wazamiaji kibao uwa wanawadeport walipotoka, bongo hatuko serious maana sijawahi sikia ata siku moja tumedeport watuNilichogundua Bongo kuna wahamiaji haramu wengi sana kutoka nchi jirani / mipakani wanaozungumza kiswahili, wakiingia katika nchi yetu wanajifanya ni wa Bongo. Siku tukiwa serious kufanya msako wengi sana tutawarudisha mwakwao na usikute hadi wewe unayesoma hapa