MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,923
- 40,246
Hiyo ni hoja dhaifu sana, uraia wangu hautoki kwakuwa natetea Pan Africanism, wewe ndiyo unaweza ukawa siyo mtanzania kwakua watanzania hatuna chuki na wageniNapata mashaka na uraia wako ... wewe si Mtanzania ... usingeweza kupinga hilo suala ambalo lina faida kwa usalama wa Taifa letu.
Wewe sio M Tanzania
Mimi nimesoma na wanyarwanda A-level, Olevel mpaka Chuo.Ur so smart kaka...
Sio ki hivyo , kwani sheria za nchi zinasemaje kuhusu kuingia ktk mipaka ya Tanzania?Hiyo ni hoja dhaifu sana, uraia wangu autoki kwakuwa natetea Pan Africanism, wewe ndiyo unaweza ukawa siyo mtanzania kwakua watanzania hatuna chuki na wageni
Aiseee ni hasara kwa Taifa , natamani siku tupate kiongozi wa kulipigia hili suala keleleMimi nimesoma na wanyarwanda A-level, Olevel mpaka Chuo.
98% wanalelewa na serikali kihuni tu.
Lakini sio wahamiaji haram kama nyinyiKwani wabongo hawapo nchi jirani?
KudosLakini sio wahamiaji haram kama nyinyi
Ma adui wa Tanzania sio wahamiaji haramu hao sio tishio kabisa bora kua na waCongo man 10, kwa usaalama wa nchi kuliko kua na mtanazina kama Lucas Mwashamba ni hatari kwa vizazi vya sasa nivijazo.Hapana , kwa usalama wa Taifa umakini ni muhimu sana sio wote wanakuja kwa mema
MUHIMU; Usitoe taarifa au namba ya SIRI baada ya kupokea kadi ya benki au kusajiliwa huduma ya NMB Mkononi. Tumia ATM au NMB Mkononi kubadili.Nilichogundua Bongo kuna wahamiaji haramu wengi sana kutoka nchi jirani / mipakani wanaozungumza kiswahili, wakiingia katika nchi yetu wanajifanya ni wa Bongo. Siku tukiwa serious kufanya msako wengi sana tutawarudisha mwakwao na usikute hadi wewe unayesoma hapa
Sawa afisa uhamiajiLakini sio wahamiaji haram kama nyinyi
Asante kwa maoniMa adui wa Tanzania sio wahamiaji haramu hao sio tishio kabisa bora kua na waCongo man 10, kwa usaalama wa nchi kuliko kua na mtanazina kama Lucas Mwashamba ni hatari kwa vizazi vya sasa nivijazo.
MUHIMU; Usitoe taarifa au namba ya SIRI baada ya kupokea kadi ya benki au kusajiliwa huduma ya NMB Mkononi. Tumia ATM au NMB Mkononi kubadili.
Huwa unaishi Tanzania? Unafuatilia taarifa za habari?marekani tu kuna wazamiaji kibao uwa wanawadeport walipotoka, bongo hatuko serious maana sijawahi sikia ata siku moja tumedeport watu
Ukitaka kujua Hilo tembelea hizi International Schools hasa za mjini Kati.Nilichogundua Bongo kuna wahamiaji haramu wengi sana kutoka nchi jirani / mipakani wanaozungumza kiswahili, wakiingia katika nchi yetu wanajifanya ni wa Bongo. Siku tukiwa serious kufanya msako wengi sana tutawarudisha mwakwao na usikute hadi wewe unayesoma hapa
SikupingiNilichogundua Bongo kuna wahamiaji haramu wengi sana kutoka nchi jirani / mipakani wanaozungumza kiswahili, wakiingia katika nchi yetu wanajifanya ni wa Bongo. Siku tukiwa serious kufanya msako wengi sana tutawarudisha mwakwao na usikute hadi wewe unayesoma hapa
AiseeeUkitaka kujua Hilo tembelea hizi International Schools hasa za mjini Kati.
Sure kwenye hili nakukubali hata kabla nyerere hajawazingua wahindi na waarabu walikuwa wazalendo kwa Tanganyika kuliko machawa na waccmMa adui wa Tanzania sio wahamiaji haramu hao sio tishio kabisa bora kua na waCongo man 10, kwa usaalama wa nchi kuliko kua na mtanazina kama Lucas Mwashamba ni hatari kwa vizazi vya sasa nivijazo.
Vipi maza inlo wa taifa?Wa kwa Lissu, wa pili mpina wa tatu Gwajima wa nne pole pole wa tano heche mjaluo wa Kenya wa sita Waitara