comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Inawezekana wakawa walalahoi kutuzidiWalalahoi tuu kama sie wngn au sio 😂
Kweli wale ni viazi aisee nimekosea hapoMtu kama Lukas ambae hajui hata kuandika ndio sawa na 'sisi'??tutake radhi
Mtaje 🤣🤣Mi kuna mmoja namjua......ameacha masomo ,,,,,sjui kafeli russia saivi ndo kaz yake iyo....cha ajabu vizinga aviishi
AiseeWao wanapewa tu alfu saba kwa siku kuisifia Lumumba ila taarifa za ndani hawapewi
ilishapanda skuiz sio elfu sabaWao wanapewa tu alfu saba kwa siku kuisifia Lumumba ila taarifa za ndani hawapewi
Kumbe ndio maana kasi imeongezeka wako tayari kufurahia mauaji ya wengineilishapanda skuiz sio elfu saba
Mtu mmoja huyo.Lucas Mwashambwa, Tlatla na kampuni yao walibisha kweli