Kuna watu wapo kwa ajili ya kukosoa tu.Hater huyo utamuweza always negativity!!!
Watu km hao wakizeeka wanakua wachawiiKuna watu wapo kwa ajili ya kukosoa tu.
Swadakta Kabisa....Watu km hao wakizeeka wanakua wachawii
Hahaaaahaaa!!!Swadakta Kabisa....
Wbongo bahna wanawake wa nchi zote wanawapenda nyinyi tu.Ni kweli wanawake sio mombasa tu yaani Kenya kwa ujumla wake wanapenda wanaume wa Kitanzania,tena wanafurahi sana pale tunapoongea kiswahili chetu.
Kweli mkuu,ulishafika kule?Wbongo bahna wanawake wa nchi zote wanawapenda nyinyi tu.
Hapana mkuu sijawahi ila kama ni kweli basi wanapenda tabia ya kitanzania(kumzoea na kumchukulia kila Mtu kama rafiki) ambayo nchi zingine haipo kabisa.Kweli mkuu,ulishafika kule?
Binafsi nimeoa kule na nachokisema jamaa ni kweli kabisa.Hapana mkuu sijawahi ila kama ni kweli basi wanapenda tabia ya kitanzania(kumzoea na kumchukulia kila Mtu kama rafiki) ambayo nchi zingine haipo kabisa.
[emoji1] [emoji1]Watu km hao wakizeeka wanakua wachawii
Ngoja nichangamkie fursa yangu itakuwa live TBC hahahahahaBinafsi nimeoa kule na nachokisema jamaa ni kweli kabisa.
Wanapenda watz na vitu vingi vyetu wanafuatilia na lafudhi ya kiswahili chetu wanakipenda sana.
[emoji1] [emoji1] fursa ya nini mkuu?Ngoja nichangamkie fursa yangu itakuwa live TBC hahahahaha