Nilichogundua kumbe WASAFI wana uwezo wa kuifuta CLOUDS ndani ya wiki moja wakiamua

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wakuu wa jukwaa

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Kati ya huu mgogoro unaondelea chin chin kati ya wasafi na clouds nimegundua NGUVU YA UMMA IKO NYUMA YA DIOMOND

Yaan japo jana mitandaon watu wenye wafuas wengi walikuwa nyuma ya luge lakin watu wengi ukisoma coment zao wanamuunga mkono diomond kwa nguvu na akili zao zote

Jana nahis clouds walikuwa wanahaha kinoma na kuona kabisa ndo wamefika tamati maana wameshikwa pabaya

Baada ya kusaga kuona biashara yake inaenda kufa maana aliona nguvu ya umma iko nyuma ya wasafi akaomba msamaha fasta kwa salam

Ruge unachoweza ni kulilia mademu tu lakin huna chochote

Siku magufur akimua akuache peke yako makonda atakunyosha kisawa sawa kwa sasa nguvu yako iko kwa magu tu hata wasanii wamekuchoka ile mbaya yaan magu akikuacha tu siku hiyo utaisoma namba

Wasafi wanauwezo wa kuifuta clouds ndan ya week moja na ikabak historia

BOY FROM LONDON
 
Wee jamaa sijasoma hata Ulichoandikaa maana Kichwa cha habari tu NI UPUUZI...UTUMBOOO NA NDOTO ZA MCHANAAA
 
Tumia akl kdgo! huwez kusem kuw sna bfu na Chadema ila nna bfu na Bavicha hv utaelewka? mchz kachanja mbga kaokopa noma uwezo wa CMG n mkubwa sana kulko udhaniavyo makampun makubwa matangzo wao project za kS/kali kubwa znazohtaj promotion wanfnya wao au hulion hlo!!
 
Clouds inajulikana kuliko wasafi wewe!! You cant compare Brand ya Clouds na WASAFI ni mlima na kichuguu.
 
Aman iwe nanyi wakuu wa jukwaa

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Kati ya huu mgogoro unaondelea chin chin kati ya wasafi na clouds nimegundua NGUVU YA UMMA IKO NYUMA YA DIOMOND

Yaan japo jana mitandaon watu wenye wafuas wengi walikuwa nyuma ya luge lakin watu wengi ukisoma coment zao wanamuunga mkono diomond kwa nguvu na akili zao zote

Jana nahis clouds walikuwa wanahaha kinoma na kuona kabisa ndo wamefika tamati maana wameshikwa pabaya

Baada ya kusaga kuona biashara yake inaenda kufa maana aliona nguvu ya umma iko nyuma ya wasafi akaomba msamaha fasta kwa salam

Ruge unachoweza ni kulilia mademu tu lakin huna chochote

Siku magufur akimua akuache peke yako makonda atakunyosha kisawa sawa kwa sasa nguvu yako iko kwa magu tu hata wasanii wamekuchoka ile mbaya yaan magu akikuacha tu siku hiyo utaisoma namba

Wasafi wanauwezo wa kuifuta clouds ndan ya week moja na ikabak historia

BOY FROM LONDON
Pumba za mahindi na maharage
 
Back
Top Bottom