Nilichogundua kumbe WASAFI wana uwezo wa kuifuta CLOUDS ndani ya wiki moja wakiamua

Nilichogundua kumbe WASAFI wana uwezo wa kuifuta CLOUDS ndani ya wiki moja wakiamua

Watu wamesha choshwa Na ukiritimba wa Ruge Mutanjunjizzzz
Mkuu,
Mti wenye matunda ndio hupigwa mawe.
Kuna Radio nyingi sana nchini ikiwemo vipindinvya burudani nchini,

Q. kwanini hawapeleki Sura zao huko, kama Ruge ni mbaya?.
Kwanini wanalialia tu?

RUGE NI MFANYA BIASHARA KAMA WENGINE. KAMA HUPENDI HUDUMA UNASEPA. SUBSTITUTES ZIPO NYINGI SANA.

TVE, Channel 5, Star tv, Channel 10, Itv, tv1,Abood,Azam Tv, Capital, Mtv, efm, Tbc, just to mentions the few...

Wasanii wana waziri wa Burudani. Na bodi yake kama mtetezi wao.
Tcrs, nk.


So mpaka hapa utagundua mindsets za wasanii ndio kansa inayowatafuna.

Ruge is innocents so far...
 
Ruge uwa mzee wa plan za muda mrefu katika vita zote alizopigana na wasanii mwanzo uwa anaonekana kashindwa kwasababu ya mihemko ya watu kumuunga mkono msanii. Mihemko ikiisha msanii anajikuta kabaki peke yake hapo ndipo uanza kula msoto na bifu likishaisha nguvu wabongo wanaanza kudeal na mambo mapya msanii anazidi pauka mwisho wa siku unamsikia karudi kuomba msamaha.
Hata hili ruge atashindwa mwanzoni atasemwa vibaya baada ya mwaka utaona matokeo..
 
Kusaga amuombe Salam msamaha!
Kuna dalili ya downfall kubwa ya msanii wenu kuwa chali .
Washauri ndo hawa kina Salam .
 
Umebwia shingo nene asubuhi yote hii mkuu kwani uko kwenu hakuna Serikali?!
 
Back
Top Bottom