Nilichogundua kutoka kwa mwamuzi Nassir Salim (Azam FC vs Simba SC) fainali ya Mapinduzi Cup

Nilichogundua kutoka kwa mwamuzi Nassir Salim (Azam FC vs Simba SC) fainali ya Mapinduzi Cup

Kwa pointi yako hiyo ni kwamba refa hakupaswa kutoa adhabu kwani mpira ulichezwa kwa kichwa na kipa akadaka.
aliyedaka anaadhibiwa, asiyedaka mpira uendelee kuchezwa. Nilitegemea mchezaji wa Azam angeenda kwa Manula ili amlazimishe kuucheza mpira badala ya kukaa nao miguuni, lakini refa akaona hata kukaa nao miguuni bado ni kosa
 
Anaadhibiwaje wakati sheria inasema mpira wa kichwa unatakiwa kudakwa?
 
Sawa hata Henock angeamua kusimama tu na mpira asingeadhibiwa. Kuulazimisha mpira Wa mguu uje kichwani kisha umpe kipa faida ya kupoteza sekunde kadhaa ni kosa. Na kumbuka lengo la henock kurudisha vile ni kumpa kipa Uhuru Wa kuudaka. Hao kina drogba hapo ni miguu tu inatumika na kama ni muda kupotea unafanyika ktk mazingira ya muendelezo Wa mchezo tofauti na ukimpa kipa anaweza akdaka akalala kidogo au akadunda dunda kidogo n.k
 
Kwanza unaonekana ukuangalia mpira, kwa kitendo Cha kusema ilikua nje ya penalty area. Pili, Violent foul yoyote ina red card. Na kwa vile ni ndani ya penalty area ilikua viendane na adhabu ya penalty. Mfano ingekua ni reckless foul kwamba alikua anafanya tackling mpira Sasa kaukosa hapo ndo ilitakiwa apewe yellow card na penalty. Violent foul hata iwe katikati ya uwanja ni direct red card
Any ways nilitaka kumaanisha ile sehemu ya 6yards
 
Yaani ni lazima kipa uudake hata kama unaona ni vyema ukatoa pasi?
aliyedaka anaadhibiwa, asiyedaka mpira uendelee kuchezwa. Nilitegemea mchezaji wa Azam angeenda kwa Manula ili amlazimishe kuucheza mpira badala ya kukaa nao miguuni, lakini refa akaona hata kukaa nao miguuni bado ni kosa
kosa lilifanywa na Enonga na sio Manura kitendo cha kuubetua mpira na kurudisha kwa kipa kwa kichwa ndio kosa hajalishi kama kipa atadaka au kucheza kwa miguu. na ndio mana faulo ilipigwa alipokua Enonga na si alipo kuwa Manula.
 
... kitendo cha kuubetua mpira na kurudisha kwa kipa kwa kichwa ndio kosa hajalishi kama kipa atadaka au kucheza kwa miguu....

... Henock angeamua kusimama tu na mpira asingeadhibiwa. Kuulazimisha mpira Wa mguu uje kichwani kisha umpe kipa faida ya kupoteza sekunde kadhaa ni kosa.

Naendelea kusema, haya ni mapya kwangu na sikuyajua kabla, sikujua kama mchezaji kuubetua mpira kwa miguu na kisha kuurudisha kwa kipa wake kwa kutumia kichwa ni kosa, lakini mchezaji huyo huyo kuupiga mpira moja kwa moja kwa kipa wake kwa kutumia mguu sio kosa, bila kujali kipa amekamata au hajakamata mpira kwa mikono. Hakika elimu haina mwisho. Hata hivyo nasisitiza sitayapokea moja kwa moja, nitayachunguza kwanza
 
Mkuu, naomba kwa utulivu kabisa usome swali langu. Baada ya kulisoma na kulielewa ndipo unijibu (unielimishe).

Tukio uliloliweka la Ivan Perisic, golikipa aliporudishiwa aliukamata mpira kwa mikono. Mimi ninachosema, refarii wa Zanzibar aliashiria kosa akapiga filimbi wakati Manula anao mpira miguuni, na hakuukamata kwa mikono. Sasa kuanzia hapo naomba uniambie (unielimishe), Je, adhabu ipo pale pale bila kujali golikipa aliyerudishiwa mpira ameucheza kwa miguu wala mikono?

View attachment 2080487

View attachment 2080490
Tafuta clip ya NANTES vs PSG 2016/2017 ...Marco veratti alimrudishia kipa mpira kwa kichwa ndani ya box...akapewa yellow card na faulo juu wakapewa nantes wapige kuelekea kwa PSG....kipa hakuudaka huo mpira aliuzuia tu lwa mguu ila bado verrati alipewa yellow...Tujifunze sheria 17 za soka kabla ya kuwalaumu waamuzi
 
nimepata mambo mapya!
 
Huyu Kipa aliuchukua Moira kwa mikono lkn kwenye mechi ya Simba : Manula aliuchukua kwa miguu
Umeambiwa kitendo cha Inonga au Ivan Perisic (kuubetua mpira kutoka chini na kuucheza kwa golikipa wako kwa kutumia kichwa) ni KOSA.

Golikipa wako AKIDAKA MPIRA HUO kwa mikono yake, HAIFUTI KOSA la "Inonga au Perisic."

Golikipa wako AKIUCHEZA MPIRA HUO kwa miguu yake HAIFUTI KOSA la "Inonga au Perisic"

Sasa usichokielewa hapo mkuu ni kitu gani ?
 
Naendelea kusema, haya ni mapya kwangu na sikuyajua kabla, sikujua kama mchezaji kuubetua mpira kwa miguu na kisha kuurudisha kwa kipa wake kwa kutumia kichwa ni kosa, lakini mchezaji huyo huyo kuupiga mpira moja kwa moja kwa kipa wake kwa kutumia mguu sio kosa, bila kujali kipa amekamata au hajakamata mpira kwa mikono. Hakika elimu haina mwisho. Hata hivyo nasisitiza sitayapokea moja kwa moja, nitayachunguza kwanza
Kuhusu hili, soma sheria nambari kumi na mbili ya mpira wa miguu.

Itakujibu yote usiyoyajua. Tena inaeleweka kirahisi sana.

NB: Yule anayedhani "anayafahamu yote" katika kanuni, sheria na miongozo ya mpira wa miguu, anaweza kuwa anajidanganya.

Kila siku ni siku ya kujifunza.
 
Umeambiwa kitendo cha Inonga au Ivan Perisic (kuubetua mpira kutoka chini na kuucheza kwa golikipa wako kwa kutumia kichwa) ni KOSA.

Golikipa wako AKIDAKA MPIRA HUO kwa mikono yake, HAIFUTI KOSA la "Inonga au Perisic."

Golikipa wako AKIUCHEZA MPIRA HUO kwa miguu yake HAIFUTI KOSA la "Inonga au Perisic"

Sasa usichokielewa hapo mkuu ni kitu gani ?
Shukran hapo nimeeleewa mkuu
 
Kwa Inonga ilikuwa sahihi Mana pale inaangaliwa dhamira yake kwamba ni kupoteza muda Kwa wazi kabisa pasipo sababu za msingi. Henock alikuwa peke yake angeweza kuendeleza tu mchezo hivyo hakukuwa na sababu za kufanya vile. Kwa tukio la sacko refa alichemka kutoa penati. Ilipaswa kuwa faulo ndani ya 18 na red card kwa kipa!
Wewe ndiye umesema pumba tupu...
 
Back
Top Bottom