Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Hakuna mwenye akili hiyo kati yenu, magufuli amewabana kisawasawa, hampumui
Sasa huyo magufuli ametubana katika lipi! Kama kujenga nyumba za kuishi, wengi tulijenga na kubweteka enzi za JK! Kwa sasa mabenki yashusha riba na kuongeza miaka ya kukopa kutoka 5 mpaka 7!
Bado mtumishi wa umma atashindwa kabisa kuanzisha biashara ya kumuongezea kipato nje ya mshahara kweli! Ukija kwenye kumuibia mwajiri muda wa kazi, huko ndiyo usiseme.
Watu tunapuyanga tu na kufanya masuala yetu binafsi kuliko hiyo kazi yake kama hatuna akili nzuri vile! Ufupi tu ni kwamba anavyoendelea kutuumiza na kukandamiza haki zetu, ndivyo anavyotuongezea zaidi usugu wa kuchukua maamuzi magumu zaidi.