Nilichogundua kwa watumishi wa umma zama hizi za Rais Magufuli

Nilichogundua kwa watumishi wa umma zama hizi za Rais Magufuli

Wanaendeshwa kwa Matamko anayojisikia kutoa mtu...just because amejisikia.. hayana backup ya research Wala sayansi.
 
Ili wateseke tano tena
Kwani mateso wanayaona. Husikii bosi kapiga simu kwa walimu Jana? Unaambiwa wamefurahi Sana japo simu ilipigwa kwa Waziri Jenister Mhagama kwa niaba ya walimu.
 
Kwani mateso wanayaona. Husikii bosi kapiga simu kwa walimu Jana? Unaambiwa wamefurahi Sana japo simu ilipigwa kwa Waziri Jenister Mhagama kwa niaba ya walimu.
Wale ni makada ujui drama zao yaani boss apige tu simu bila kuwaandaa kwani aogopi aibu Yale ni maigizo.
Reasoning yake IPO down sana cheap propaganda za kuidhalilisha phd
 
Wanatekeleza ILANI ya chama, hawamu hii wote tuliahidiwa kuishi kama shetani, chuki imeongezeka sana kipindi hiki. Sikushawishi uamini.
 
Wanatekeleza ILANI ya chama, hawamu hii wote tuliahidiwa kuishi kama shetani, chuki imeongezeka sana kipindi hiki. Sikushawishi uamini.
Kumbe ndiyo kuishi kishetani imedhihirika?
 
Sasa huyo magufuli ametubana katika lipi! Kama kujenga nyumba za kuishi, wengi tulijenga na kubweteka enzi za JK! Kwa sasa mabenki yashusha riba na kuongeza miaka ya kukopa kutoka 5 mpaka 7!...
[emoji1787][emoji1787] una akili tatanishi..!!
 
Huu ndio ukweli, wakulima kila siku wanalalamika kupangiwa bei ya mazao au stakabadhi ghalani ila hakuna hata mmoja aliyeandamana. Kwanini tuandamane watumishi tu?
Hakuna mtanzania mwenye uwezo wa kuandamana, sio Watumishi wa Umma, waliojiajiri binafsi wala wananchi wasio na kazi.

Hakuna, hakuna, hakuna, wangekuwepo wenye uthubutu huo Hawa wanafunzi jobless waliomaliza vyuo tangu 2015 wangeshaandamana.

Watanzania wana nidhamu ya uoga tangu enzi.
 
Habari Wana wa JF.
Niende madani.

Tangu Rais Magufuli aingie madarakani mwaka 2015, kumekuwa na mabadiliko ktk utumishi wa umma. Kuna mengi ila nizungumzie haya machache.

1. Mosi, watumishi wa umma wengi wamefungua maduka madogo ya rejareja ili kujikimu kimaisha.

2. Pili, watumishi wengi wa umma wanajituma na wamekuwa waoga kazini kwa viongozi wa serikali.

3 Tatu, watumishi wa umma wanaelekeza hasira zao kwa viongozi wao wanaowasimamia vituoni. Mkuu wa ofisi asipokuwa makini atagombana na wenzake wote.

4. Nne, watumishi wa umma wengi wanaombeana mabaya na hufurahi Sana kusikia fulani katumbuliwa. Mtu husuuzika nafsi yake kisa kasikia kiongozi wa ofisini kwao, jirani au hata kiongozi mkubwa huko juu katumbuliwa.

5. Tano, watumishi wa umma wamejawa na wivu na majungu miongoni mwao na wengi wanaombeana mabaya.

Ni hayo machache tu nimeyagundua kipindi hiki.
Namba 2 sio kweli kabisa ni usanii tu
 
Huu ndio ukweli, wakulima kila siku wanalalamika kupangiwa bei ya mazao au stakabadhi ghalani ila hakuna hata mmoja aliyeandamana. Kwanini tuandamane watumishi tu?
Watu huwa wanaandika humu kuwa Watumishi wa Tanzania ni waoga sana has a Waalimu, hawajitambui kwakuwa wananyanyaswa ila hawaandamani kudai haki zao

SWALI: Je ni kada ipi wanaoandamana? Wasio na ajira miaka nenda rudi kimya, Wakulima kimya, wafanya biashara kodi zilipandishwa hadi wengine wakafunga biashara zao kimya, wanafunzi, Wanachuo kimya

Ni Mtanzania yupi mwenye uthubutu huo?
 
Wanawatuma watumishi kama chambo
 
Sasa huyo magufuli ametubana katika lipi! Kama kujenga nyumba za kuishi, wengi tulijenga na kubweteka enzi za JK! Kwa sasa mabenki yashusha riba na kuongeza miaka ya kukopa kutoka 5 mpaka 7...
Maamuzi magumu yenyewe ndio hayo ya kutoroka muda wa kazi? Kazi ipo
 
Back
Top Bottom