Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,867
- 19,250
Save post ya nini kuharibu memory tu kwa upumbavu, jana Lissu toka saa 4 asubuhi mpaka saa 4 za usiku yupo korokoroni hapo kimara kwa mbele tu anahenyeshwa na police lakini Hakuna wananchi waliosogelea eneo la tukio japo kwa umbali wa meters 10 tuWabongo hawahawa unaowajua! Save post.
Leo nimeshangaa kuona video twitter CCM wakichana bendera za chadema Moshi mjini tena stendi mchana kweupe na wapiga debe kwa mamia wapo wanashuhudia, unaongea nini wewe?