Nilichogundua kwa watumishi wa umma zama hizi za Rais Magufuli

Hakuna mwenye akili hiyo kati yenu, magufuli amewabana kisawasawa, hampumui

Sasa huyo magufuli ametubana katika lipi! Kama kujenga nyumba za kuishi, wengi tulijenga na kubweteka enzi za JK! Kwa sasa mabenki yashusha riba na kuongeza miaka ya kukopa kutoka 5 mpaka 7!

Bado mtumishi wa umma atashindwa kabisa kuanzisha biashara ya kumuongezea kipato nje ya mshahara kweli! Ukija kwenye kumuibia mwajiri muda wa kazi, huko ndiyo usiseme.

Watu tunapuyanga tu na kufanya masuala yetu binafsi kuliko hiyo kazi yake kama hatuna akili nzuri vile! Ufupi tu ni kwamba anavyoendelea kutuumiza na kukandamiza haki zetu, ndivyo anavyotuongezea zaidi usugu wa kuchukua maamuzi magumu zaidi.
 
Kabisa
 
Ukweli wa ukweli
 
Hamna akili kajinga nyie! Hunijui dada sasa kuwa mpole tu! Juzi nimekuwa na kazi na litumishi moja la umma linasema jamaa akiongeza hata 50 tu linatoa kura! Sasa hapo mnajielewa nyie?
 
Hifadhi post hii utaona kwa macho yako kitakachotokea .
 
Hamna akili kajinga nyie! Hunijui dada sasa kuwa mpole tu! Juzi nimekuwa na kazi na litumishi moja la umma linasema jamaa akiongeza hata 50 tu linatoa kura! Sasa hapo mnajielewa nyie?

Wewe ni mchimba visima tu kijijini huko chato! Huna lolote. Umejawa na wivu tu kisa huna Check Number. Huna wa kumlaumu. Wazazi walijinyima ili usome, ila wewe ukawekeza tu kwenye ununda shuleni.

Na utauza maji kwenye mkokoteni unaokokotwa na punda hapo chato, mpaka ukome! Hayupo mtumishi wa umma/mfanyakazo kokote duniani atakaye omba kupunguziwa mshahara! Isipokua kuongezewa kadiri iwezekanvyo ili aweze kukidhi mahitaji yake ya kila siku.

Hivyo uelewa wako mdogo kuhusu wafanyakazi/watumishi wa umma kama ilivyo kwa mwenyekiti wako wa chama, ndiyo uliokufanya umuone huyo rafiki yako hana akili! Kumbe wewe ndiye huna akili.
 
[QUOTE="Job K, post: 36881767, member: 27429
Matumishi ya umma hayana akili!
[/QUOTE]

Wana akili sana kuliko wewe na wale wenye mtizamo kama wako cha muhimu kama unataka kulijua hilo basi itabidi ufanye Statistical research kwenye targeted groups baada ya uchaguzi huu wa 2020 kupita
 
Uwezo wanao, isipokuwa wamekosa leadership.

Wakati Dr SLAA anaongoza maandamano hapa duniani ulikuwa haujazaliwa ?
Yale maandamano yalikuwa na mhemko wa kisiasa na hayatatokea tena kwa awamu hii na zijazo.

Hakuna watu waliopaswa kuandamana kama Hawa wasomi wa Tanzania wasiokuwa na kazi kwa miaka mingi ilihali sana sifa, ama hata ambao sana sifa ya kupandishwa vyeo na kuongezewa mishahara lakini hawajafanyiwa hivyo.

Hata ingekuwa hapo Kenya ungesikia kila siku maandamano na watu kung'atuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…