Nilichogundua kwa watumishi wa umma zama hizi za Rais Magufuli

Wanaendeshwa kwa Matamko anayojisikia kutoa mtu...just because amejisikia.. hayana backup ya research Wala sayansi.
 
Ili wateseke tano tena
Kwani mateso wanayaona. Husikii bosi kapiga simu kwa walimu Jana? Unaambiwa wamefurahi Sana japo simu ilipigwa kwa Waziri Jenister Mhagama kwa niaba ya walimu.
 
Kwani mateso wanayaona. Husikii bosi kapiga simu kwa walimu Jana? Unaambiwa wamefurahi Sana japo simu ilipigwa kwa Waziri Jenister Mhagama kwa niaba ya walimu.
Wale ni makada ujui drama zao yaani boss apige tu simu bila kuwaandaa kwani aogopi aibu Yale ni maigizo.
Reasoning yake IPO down sana cheap propaganda za kuidhalilisha phd
 
Wanatekeleza ILANI ya chama, hawamu hii wote tuliahidiwa kuishi kama shetani, chuki imeongezeka sana kipindi hiki. Sikushawishi uamini.
 
Wanatekeleza ILANI ya chama, hawamu hii wote tuliahidiwa kuishi kama shetani, chuki imeongezeka sana kipindi hiki. Sikushawishi uamini.
Kumbe ndiyo kuishi kishetani imedhihirika?
 
Sasa huyo magufuli ametubana katika lipi! Kama kujenga nyumba za kuishi, wengi tulijenga na kubweteka enzi za JK! Kwa sasa mabenki yashusha riba na kuongeza miaka ya kukopa kutoka 5 mpaka 7!...
[emoji1787][emoji1787] una akili tatanishi..!!
 
Huu ndio ukweli, wakulima kila siku wanalalamika kupangiwa bei ya mazao au stakabadhi ghalani ila hakuna hata mmoja aliyeandamana. Kwanini tuandamane watumishi tu?
 
Namba 2 sio kweli kabisa ni usanii tu
 
Huu ndio ukweli, wakulima kila siku wanalalamika kupangiwa bei ya mazao au stakabadhi ghalani ila hakuna hata mmoja aliyeandamana. Kwanini tuandamane watumishi tu?
Watu huwa wanaandika humu kuwa Watumishi wa Tanzania ni waoga sana has a Waalimu, hawajitambui kwakuwa wananyanyaswa ila hawaandamani kudai haki zao

SWALI: Je ni kada ipi wanaoandamana? Wasio na ajira miaka nenda rudi kimya, Wakulima kimya, wafanya biashara kodi zilipandishwa hadi wengine wakafunga biashara zao kimya, wanafunzi, Wanachuo kimya

Ni Mtanzania yupi mwenye uthubutu huo?
 
Wanawatuma watumishi kama chambo
 
Sasa huyo magufuli ametubana katika lipi! Kama kujenga nyumba za kuishi, wengi tulijenga na kubweteka enzi za JK! Kwa sasa mabenki yashusha riba na kuongeza miaka ya kukopa kutoka 5 mpaka 7...
Maamuzi magumu yenyewe ndio hayo ya kutoroka muda wa kazi? Kazi ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…