Save post ya nini kuharibu memory tu kwa upumbavu, jana Lissu toka saa 4 asubuhi mpaka saa 4 za usiku yupo korokoroni hapo kimara kwa mbele tu anahenyeshwa na police lakini Hakuna wananchi waliosogelea eneo la tukio japo kwa umbali wa meters 10 tuWabongo hawahawa unaowajua! Save post.
Hii ndiyo njia rafiki na uenye manufaa kwa mwajiri asiyekujali. Hakuna mwandamu asiyependa maisha mazuri.Maamuzi magumu yenyewe ndio hayo ya kutoroka muda wa kazi? Kazi ipo
Unawakomoa walalahoi wenzako tu.Hii ndiyo njia rafiki na uenye manufaa kwa mwajiri asiyekujali. Hakuna mwandamu asiyependa maisha mazuri.
Japo simpunguzii wala kumuongezea chochote, sijui kwanini huwa namchukia Jenister Mhagama!Kwani mateso wanayaona. Husikii bosi kapiga simu kwa walimu Jana? Unaambiwa wamefurahi Sana japo simu ilipigwa kwa Waziri Jenister Mhagama kwa niaba ya walimu.
Tulia usiwe na jazbaSave post ya nini kuharibu memory tu kwa upumbavu, jana Lissu toka saa 4 asubuhi mpaka saa 4 za usiku yupo korokoroni hapo kimara kwa mbele tu anahenyeshwa na police lakini Hakuna wananchi waliosogelea eneo la tukio japo kwa umbali wa meters 10 tu
Leo nimeshangaa kuona video twitter CCM wakichana bendera za chadema Moshi mjini tena stendi mchana kweupe na wapiga debe kwa mamia wapo wanashuhudia, unaongea nini wewe?
Naunga mkono kauliKumbukumbu zinaonesha ni walimu na madaktari tu ndio wenye uthubutu wa kugoma hapa Tanzania.
Usisahau hilo
Au kwa vile kawa Waziri kwa mazingira ya utatautata?Japo simpunguzii wala kumuongezea chochote, sijui kwanini huwa namchukia Jenister Mhagama!
Hii ishakuwa hostoriaKwahiyo ni mitano tena? Au ni yeyeeee!!!!
Punde wataandamana kiroho safi kabisaWangekuwa wanajiamini wangeandamana kudai haki zao