Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Leo nimekutana na Habari Mkuu wa Mkoa wa Dar kaenda na kamati yake ya Ulinzi na Usalama Wavuvi Kempu na kawapiga biti kuhusu clip iliyorushwa inayoonesha namna watu wanavyokula bata.
Mbaya zaidi baada ya Amos Makala kuongea kaongea kiongozi mwingine sijui nani nae akapiga biti kuhusu club hiyo kuuza vinywaji asubuhi.
Nimeona pia habari ya kiongozi mmoja akitoa habari kuwa kuna vifaranga viliagizwa kutoka nje vimefia Airport.
Baada ya habari hizi nilichogundua ni kwamba kwa hapa Tanzania hata atawale malaika hatuwezi pata maendeleo tunayotakiwa kuyapata kamwe.
Ukiona taifa viongozi wanaenda kupiga marufuku sehemu ya starehe iliyopo ufukweni inayolipa kodi na kuingiza mapato, iliyoajiri watanzania na kuwalipa mishahara inayowawezesha kuhudumia familia zao kufanya biashara asubuhi basi ujue hiyo sehemu shida ni akili za watu.
Tanzania tuna safari ndefu sana.