Tanzania ni mojwawapo ya nchi hizo?Anafundisha maisha ya ujima, katika nchi zilizostaarabila na kuendelea hakuna mtu anayehangaika umekunywa au umevaa nini kwa muda upi.
Hakuna mifano ya "nchi zilizostaarabika na kuendelea" duniani zisizofuata mambo hayo?
Hicho ndiyo kipimo pekee cha nchi "kustaarabika na kuendelea"?