Nilichogundua, Tanzania hata atawale malaika bila akili za watu kufunguka hatuwezi endelea inavyotakiwa kamwe

Acha akili za kimaskini wewe. Sasa kuna shida gani mtu kupeleka cash dola Mil 18 bank?

Kuna watu akili zenu zimejaa ufukara tu
Tati
Mkuu unaijua lakini $18milioni??? Isije ukawa unasema dollar ambazo thamani yake Kwa tz ni 18milioni?
Wewe uko nyuma na huna taarifa na hivyo usinipotezee muda!
Bank statement ya Mfanyabiashara PCK inaonyesha account yake imekuwa blocked KCB Bank na anamlilia Rais Samia amsaidie!
Dolla (USD) 18 Million ni zaidi ya Tshs.40 Billion ( Exchange rate ya Tshs.2300/1 USD).
Tukifafanua hivi ndo mnaelewa , hamko informed lakini ujuaji mwiiiiingi!
 
Acha akili za kimaskini wewe. Sasa kuna shida gani mtu kupeleka cash dola Mil 18 bank?

Kuna watu akili zenu zimejaa ufukara tu
Siku nikipeleka dola bilioni 200 sijui jamaa atasemaje. Yaani watu wanaji limit wenyewe kichwani mwao. They doubt themselves about their capability.
 
Ni ushamba wa kiwango cha lami kwenda kuzuia watu kuvaa mavazi ya Beach kwenye sehemu ya starehe iliyo eneo la beach

Ni ushamba na ujinga zaidi kuzuia sehemu iyo kuuza vinywaji asubuhi. Dunia imefika hatua sehemu za starehe na biashara zinafanya kazi masaa 24 alafu hapa kuna wajinga eti wanaenda kuwazuia kufanya biashara asubuhi.

Hii nchi ina wajinga sana kwa kweli

Pole mwaya😃😃😃
 
Magufuli sasa anahusiana na nini kwenye hii mada? Kipindi cha Magufuli si ndio marufuku ya kufungua baa ilianza? Na huu upuuzi wa kuingilia maisha binafsi ya mtu kwa kisingizio cha maadili?

Watu wengine vichwa vyenu sijui vimejaa funza..!

Niliyemjibu amenielewa

Ila wewe mwenye funza mdomoni kwako unaropoka roporopo

Rest well mwamba John Pombe Magufuli

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hasan
 
Kuweka sheria ya muda wa kuuza pombe siyo jambo baya kwa nchi iliyostaarabika ila hilo suala linakuwa na mantiki zaidi kama kweli tungekuwa na jamii yenye ustaarabu, kuheshimiana na kila mmoja wetu kuheshimu sheria.

Tatizo ya jamii yetu ina uhuni mwingi kila mahali, mambo mengi yanaenda shaghalabaghala, huduma mbovu za kijamii, viongozi wanatumia madaraka yao vibaya huku wakijiona wako juu ya sheria, nk.

Kwa hiyo kiongozi kuibuka tu sehemu ya starehe na kuzuia watu wasisherehekee mwaka mpya kisa nchi ni ya wakulima na wafanyakazi, kauli mufilisi kabisa iliyopitwa na wakati inaleta ukakasi sana. Ila kwa kuwa Watanzania mmekataa kujipigania, mtaendelea kuteswa hadi kiama. Mnastahili lolote ambalo watawala wataamua kuwafanyia.
 
Leo nimekutana na Habari Mkuu wa Mkoa wa Dar kaenda na kamati yake ya Ulinzi na Usalama Wavuvi Kempu na kawapiga biti kuhusu clip iliyorushwa inayoonesha namna watu wanavyokula bata.

Mbaya zaidi baada ya Amos Makala kuongea kaongea kiongozi mwingine sijui nani nae akapiga biti kuhusu club hiyo kuuza vinywaji asubuhi.

Nimeona pia habari ya kiongozi mmoja akitoa habari kuwa kuna vifarangq viliagizwa kutoka nje vimefia Airport.

Baada ya habari hizi nilichogundua ni kwamba kwa hapa Tanzania hata atawale malaika hatuwezi pata maendeleo tunayotakiwa kuyapata kamwe.

Ukiona taifa viongozi wanaenda kupiga marufuku sehemu ya starehe iliyopo ufukweni inayolipa kodi na kuingiza mapato, iliyoajiri watanzania na kuwalipa mishahara inayowawezesha kuhudumia familia zao kufanya biashara asubuhi basi ujue hiyo sehemu shida ni akili za watu.

Tanzania tuna safari ndefu sana.View attachment 2466793
Hebu tupe huo ugunduzi wako mpya kwa ushahidi. Pia ni wapi ulisikia waliwahi kutawaliwa na malaika wako hao?
 
Magufuli sasa anahusiana na nini kwenye hii mada? Kipindi cha Magufuli si ndio marufuku ya kufungua baa ilianza? Na huu upuuzi wa kuingilia maisha binafsi ya mtu kwa kisingizio cha maadili?

Watu wengine vichwa vyenu sijui vimejaa funza..!
Hiki chako unadhani kimejaa nini, kamasi; maana sioni unafuu wowote kati ya hicho chako na hivyo vingine!
 
Kuwepo na sheria za muda wa kuuza chakula pia, sio watu mnakula kula tu muda wote[emoji16].
Kuwepo na sheria za muda wa kuangalia TV
Kuwepo na sheria za muda wa kuingia mitandaoni
Tuishi kama Korea Kaskazini kwa Kiduku[emoji16]
Kuweka sheria ya muda wa kuuza pombe siyo jambo baya kwa nchi iliyostaarabika ila hilo suala linakuwa na mantiki zaidi kama kweli tungekuwa na jamii yenye ustaarabu, kuheshimiana na kila mmoja wetu kuheshimu sheria.

Tatizo ya jamii yetu ina uhuni mwingi kila mahali, mambo mengi yanaenda shaghalabaghala, huduma mbovu za kijamii, viongozi wanatumia madaraka yao vibaya huku wakijiona wako juu ya sheria, nk.

Kwa hiyo kiongozi kuibuka tu sehemu ya starehe na kuzuia watu wasisherehekee mwaka mpya kisa nchi ni ya wakulima na wafanyakazi, kauli mufilisi kabisa iliyopitwa na wakati inaleta ukakasi sana. Ila kwa kuwa Watanzania mmekataa kujipigania, mtaendelea kuteswa hadi kiama. Mnastahili lolote ambalo watawala wataamua kuwafanyia.
 
Taifa likiwa na viongozi vipofu, taifa lote hutumbukia shimoni. Ee Mwenyezi Mungu tunusuru.
 
Hebu tupe huo ugunduzi wako mpya kwa ushahidi. Pia ni wapi ulisikia waliwahi kutawaliwa na malaika wako hao?
kwa akili yako ya kawaida tu, unaona sawa mtu kwenda kuipangia sehemu ya starehe iliyo ufukweni mavazi ya kuvaa na muda wa kuuza vinjwaji? kwenye dunia hii ya ushindani kwenye karne hii ya 21?

Au na wewe ni mchunga ng'ombe usiyejua namna dunia ya ushindani inavyoenda?
 
Kuweka sheria ya muda wa kuuza pombe siyo jambo baya kwa nchi iliyostaarabika ila hilo suala linakuwa na mantiki zaidi kama kweli tungekuwa na jamii yenye ustaarabu, kuheshimiana na kila mmoja wetu kuheshimu sheria.

Tatizo ya jamii yetu ina uhuni mwingi kila mahali, mambo mengi yanaenda shaghalabaghala, huduma mbovu za kijamii, viongozi wanatumia madaraka yao vibaya huku wakijiona wako juu ya sheria, nk.

Kwa hiyo kiongozi kuibuka tu sehemu ya starehe na kuzuia watu wasisherehekee mwaka mpya kisa nchi ni ya wakulima na wafanyakazi, kauli mufilisi kabisa iliyopitwa na wakati inaleta ukakasi sana. Ila kwa kuwa Watanzania mmekataa kujipigania, mtaendelea kuteswa hadi kiama. Mnastahili lolote ambalo watawala wataamua kuwafanyia.
Sehemu za biashara kwenye dunia iliyostaaribika huko pombe zinauzwa masaa 24, Casino zinafanya kazi masaa 24 , malls zinafanya kazi masaa 24. Leo hii tukienda kutembeza bakuli kwao tunadhani hela wanatoa wapi kama sio kupitia ubunifu wa namna hiyo?

Acheni akili za kishamba!
 
Back
Top Bottom