K Kalamu Platinum Member Joined Nov 26, 2006 Posts 12,096 Reaction score 15,393 Jan 3, 2023 #121 Yoda said: Anafundisha maisha ya ujima, katika nchi zilizostaarabila na kuendelea hakuna mtu anayehangaika umekunywa au umevaa nini kwa muda upi. Click to expand... Tanzania ni mojwawapo ya nchi hizo? Hakuna mifano ya "nchi zilizostaarabika na kuendelea" duniani zisizofuata mambo hayo? Hicho ndiyo kipimo pekee cha nchi "kustaarabika na kuendelea"?
Yoda said: Anafundisha maisha ya ujima, katika nchi zilizostaarabila na kuendelea hakuna mtu anayehangaika umekunywa au umevaa nini kwa muda upi. Click to expand... Tanzania ni mojwawapo ya nchi hizo? Hakuna mifano ya "nchi zilizostaarabika na kuendelea" duniani zisizofuata mambo hayo? Hicho ndiyo kipimo pekee cha nchi "kustaarabika na kuendelea"?
L LGF JF-Expert Member Joined Dec 6, 2020 Posts 1,407 Reaction score 790 Jan 3, 2023 #122 Lord denning said: Acha akili za kimaskini wewe. Sasa kuna shida gani mtu kupeleka cash dola Mil 18 bank? Kuna watu akili zenu zimejaa ufukara tu Click to expand... Utapata wapi dila milioni 18 kama si bangi?
Lord denning said: Acha akili za kimaskini wewe. Sasa kuna shida gani mtu kupeleka cash dola Mil 18 bank? Kuna watu akili zenu zimejaa ufukara tu Click to expand... Utapata wapi dila milioni 18 kama si bangi?