DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Wakuu, baada ya tafakuri za kuyatazama Maisha since when I was broke mpaka muda huu nimegundua ukiwa na uhakika wa Maisha ya kila siku na unapata ushindi mdogo na mkubwa katika mzunguko wa Maisha unajikuta nguvu ya kuongea sana inapungua unakuwa msikilizaji sana. Ina maana ile nguvu ya kuongea inachukuliwa na Pesa.
Hivyo Pesa ni nishati, sio kwamba mtu ukipata Pesa inakubadilisha isipokuwa Pesa inafanya manifestation udhihirisho katika physical appearance kwa kukusemea Sehemu mbalimbali.
NB: Hapa namzungumzia mtu ambaye pesa ipo ndani yake, yaani yule ambaye ana earn more na ana spend less kwenye important matters.
Hivyo tusiwahukumu sana watu amabao wamebadilika baada ya kuwa maana Pesa ni nishati na Nishati inamuathiri kila mtu kitofauti tofauti.