Nilichogundua: Ukipata Pesa unaanza kuwa mkimya sana na hupendi tena kelele. Pesa nayo ni nishati

Nilichogundua: Ukipata Pesa unaanza kuwa mkimya sana na hupendi tena kelele. Pesa nayo ni nishati

Pesa inaongeza ustaarabu, huku uswahilini matusi ni kitu cha kawaida mno, kisa watu wamejikatia tamaa 😄😄
 
ukiwa na pesa nyingi unawaza mambo makubwa, stori za kijinga jinga unaachana nazo
 
Ulichosema ni sahihi mkuu,itafutie vifulisho Tu hiyo ni quote yako mkuu,haipo sehem yoyote
 
Pesa hizi hizi alizokua nazo MO na akachezea 5-1 au kuna pesa nyingine
Kila timu ndogo huwa ina ndoto ya kuifunga timu kubwa.
Saudia Arabia (kama sijakosea) waliifunga Argentina, nchini Saudia ilikuwa mapumziko)
Simba ni timu kubwa, unapoizungumzia Simba, hauna tofauti na kuizungumzia Wydad, Al Ahly, Mamelod na Al hilal. Ni sawa na Ndada aifunge Simba goli 5 lazima afanye sherehe.
Hizi 5 mtafanya sherehe mwaka mzima. Meshaifunga timu ngapi goli 5?
Nenda ukapige picha na uchukue video kwenye bango la Ally Kamwe linaonesha Yanga 5 - Simba 1 unitumie niburudike mimi mshabiki wa Simba😁😁😁
 
Back
Top Bottom