Kila timu ndogo huwa ina ndoto ya kuifunga timu kubwa.
Saudia Arabia (kama sijakosea) waliifunga Argentina, nchini Saudia ilikuwa mapumziko)
Simba ni timu kubwa, unapoizungumzia Simba, hauna tofauti na kuizungumzia Wydad, Al Ahly, Mamelod na Al hilal. Ni sawa na Ndada aifunge Simba goli 5 lazima afanye sherehe.
Hizi 5 mtafanya sherehe mwaka mzima. Meshaifunga timu ngapi goli 5? Nenda ukapige picha na uchukue video kwenye bango la Ally Kamwe linaonesha Yanga 5 - Simba 1 unitumie niburudike mimi mshabiki wa Simbaπππ