Nilichogundua wanaume wengi wa JF hawatumii kondom, wanapenda 'Unprotected Sex'

Hii wiki biashara za nyumba za wageni imepata changamoto kidogo
 
Aisee
 
Acheni kumuandama atleast yeye kapata ujasiri wa kuongea mambo kama yalivo. Kuliwa wengi wanaliwa kavu kavu so suala la kuweka hadharani au kukaa nalo moyoni ni utashi wa mtu kuamua. Tufanyieni kazi alichoshauri haya hii kubeza, dharau na kumlabel haimsaidii yeyote kati ya tunaomuandama. Nani alikwambia Ukimwi unawaogopa wale wanaotiwa bila kinga kisa wamekaa kimya hawajatangaza? Mnatoa mbwa nyote mliomuandama badala ya kuchukulia ushauri wake kama wake up call
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…