Nilichogundua wanaume wengi wa JF hawatumii kondom, wanapenda 'Unprotected Sex'

Nilichogundua wanaume wengi wa JF hawatumii kondom, wanapenda 'Unprotected Sex'

Aisee
Nimesoma post ya Priscallia namna alivyopata 'HIV' na namna alivyokuwa akigawa uroda kwa wanaume wa JF.

Pia nimezingatia post ya cutelove

Mimi mwenyewe nimewahi kutongoza humu nikakubaliwa ila nilikacha kuonana nao.

Hao wadada ni as follows:

Nitataja herufi za mwanzo za ID tu:

1.Ca

2.fe

3.ma

4. Me
Huyo me alinisimulia jinsi alivyosex na mwanaume wa JF japo ana mume na kuniambia kwamba Huyo mwanaume alimtia vizuri kuliko mumewe na hajawahi pata boro tamu as such.
Wengine sikumbuki

Pia nimezingatia comments za wanaume kwenye post mbalimbali humu JF
 
Acheni kumuandama atleast yeye kapata ujasiri wa kuongea mambo kama yalivo. Kuliwa wengi wanaliwa kavu kavu so suala la kuweka hadharani au kukaa nalo moyoni ni utashi wa mtu kuamua. Tufanyieni kazi alichoshauri haya hii kubeza, dharau na kumlabel haimsaidii yeyote kati ya tunaomuandama. Nani alikwambia Ukimwi unawaogopa wale wanaotiwa bila kinga kisa wamekaa kimya hawajatangaza? Mnatoa mbwa nyote mliomuandama badala ya kuchukulia ushauri wake kama wake up call
 
Back
Top Bottom