Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,055
- 8,540
sisi wakazi wa ununio. Mahali Upepo unapovuma maswala hayo hatuna.Weeee naanzaje kwa mfano😂mimi nawewe ni siri yetu,labda uanze wewe...lol
Duh wewe wasema??!!??Duh,.hizo ruti za Dar Bukoba kisa dudu tuu halafu unataka na kondom aaahh acha utani buanaa,hauko "siriyasi" kabisaa
Nimesoma post ya Priscallia namna alivyopata 'HIV' na namna alivyokuwa akigawa uroda kwa wanaume wa JF.
Pia nimezingatia post ya cutelove
Mimi mwenyewe nimewahi kutongoza humu nikakubaliwa ila nilikacha kuonana nao.
Hao wadada ni as follows:
Nitataja herufi za mwanzo za ID tu:
1.Ca
2.fe
3.ma
4. Me
Huyo me alinisimulia jinsi alivyosex na mwanaume wa JF japo ana mume na kuniambia kwamba Huyo mwanaume alimtia vizuri kuliko mumewe na hajawahi pata boro tamu as such.
Wengine sikumbuki
Pia nimezingatia comments za wanaume kwenye post mbalimbali humu JF
Aisee..nashangaa na huyo mke wa mtu..Nimesoma post ya Priscallia namna alivyopata 'HIV' na namna alivyokuwa akigawa uroda kwa wanaume wa JF.
Pia nimezingatia post ya cutelove
Mimi mwenyewe nimewahi kutongoza humu nikakubaliwa ila nilikacha kuonana nao.
Hao wadada ni as follows:
Nitataja herufi za mwanzo za ID tu:
1.Ca
2.fe
3.ma
4. Me
Huyo me alinisimulia jinsi alivyosex na mwanaume wa JF japo ana mume na kuniambia kwamba Huyo mwanaume alimtia vizuri kuliko mumewe na hajawahi pata boro tamu as such.
Wengine sikumbuki
Pia nimezingatia comments za wanaume kwenye post mbalimbali humu JF
Mkuu naona unataka kuchomoa betri Napa[emoji4][emoji4]
Mkuu kuna orodha imetajwa hapo juu naona na jina linaloanza na ma lipo pia![emoji81][emoji81][emoji81]Pole sana...
Uwe unaendelea kukaza, bila condom no s.ex, ukiliegeza ina maana nawe umependa bila condom...
Cc: mahondaw
Mimi ninachokupendea wewe ni msema kweli, yaani walah huvungi..... Hongera msema kweli mpenzi wa munguKaka ukimwi haupo mitandaoni tu,hapo unapokaa kuna ukimwi pia,wanaume unaowaona mitandaoni ni hao hao unaokutana nao hapo mtaani kwako au barabarani au safarini
Na love doesnt consider distance,mtu anaweza akawa Tanzania akawa na mpenzi Japan
Na huu sio kwamba nilikuwa field nafanya utafiti,ni hali tu ilitokea ningekuwa field ningebainisha kati ya wangapi walitumia kondom na wangap hawakutumia
Lakini mbona wengine wana faudu sana humu...!!??Inakuepusha na mengi hiyo avatar. Mshukuru Mungu.
Mkuu naona unataka kuchomoa betri hapa[emoji4][emoji4]
Ilipo tajwa Dodoma, chap akanitumia link....teh[emoji23]Wifi alijua nawewe umo...looh wanaume wa humu mtawatoa roho jomoniii wake zenu[emoji28]