Nilichogundua wanaume wengi wa JF hawatumii kondom, wanapenda 'Unprotected Sex'

Ya humu ndani mazitoooo
 
Aisee, wiki ya Ukimwi JF
 
Mimi nimejaribu Kwa lugha za mahaba lakini wapi, sijui tatizo liko wapi, au nyota yangu haing'ai[emoji39] hujambo Paula?
Wewe mwandiko wako unavutia kusoma bila hata lugha ya mahaba. Wamekukatili tuu coz naweza kuona nyota yako inang'aa.

Sijambo Eli, thank you for asking. Nimesikia fahari sana.
Mzima wewe Eli?
 
Wewe mwandiko wako unavutia kusoma bila hata lugha ya mahaba. Wamekukatili tuu coz naweza kuona nyota yako inang'aa.

Sijambo Eli, thank you for asking. Nimesikia fahari sana.
Mzima wewe Eli?

Kumbe wamenikatili, sijajua tatizo langu ni nini! Lakini kwa vile unadhani nyota ipo vizuri basi sipati shida kuwaza.

Nimefurahi pia kukuona humu, mimi sijambo kabisa.
 
Kumbe wamenikatili, sijajua tatizo langu ni nini! Lakini kwa vile unadhani nyota ipo vizuri basi sipati shida kuwaza.

Nimefurahi pia kukuona humu, mimi sijambo kabisa.
Japo nina hakika malalamiko yako sio ya kweli.
 
Nimeelewa Aikambee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…