Nilichogundua wanaume wengi wa JF hawatumii kondom, wanapenda 'Unprotected Sex'

Nilichogundua wanaume wengi wa JF hawatumii kondom, wanapenda 'Unprotected Sex'

Mnawapataje wapenzi huku JF maana wengi wanatumia majina Fake ? Na Ni ni link ipi ya kuwapata?
Mkuu woga wako ndio umasikini wako.
Jilipue tu wafuate, humu na mitaani huko ni sawa tu, sema humu angalau wengi unaanza kumsoma akili yake kwenye maandishi yake.
 
Umefanikisha lengo lako la kugongwa gongwa ovyo bika kondom hongera sana
 
Dada, sisi tunasoma katikati ya mistari.
Wewe unatoka Bukoba mpaka Dom kumfuata mwanaume, unatoka Bukoba mpaka Dar mara mbili kufuata wanaume. Ina maana unajisafirisha kwa gharama zako? Jibu ni hapana. Hawa wanaume wanakulipa na kukusafirisha kuwafata. Unasema uko tayari kukaa hata wiki au zaidi na mwanaume ili aridhike, hii inamaanisha huna kazi nyingine ya kufanya. Na hapa umetutajia wanaume wa JF pekee, je huko unakoishi unao wangapi? Na hao waliokubali kutumia condom (ambao hujawataja hapa) ni wangapi? Halafu unajidai wewe sio sex worker?
Mimi nadhani hao wanaume unaokua nao ndio ilibidi waogope sana na wawe makini kuliko unavyoogopa wewe.
Tusiwe wepesi kuhukumu.
Amekuambia wakipewa nyama wanakula na kukimbia au anawakimbia kwa kuogopa mahusiano ya kutofanya ngono salama.
Ni kweli yeye kama binadamu ana udhaifu flani wa kupenda kirahisi huenda inatokana na tamaa ya kuolewa na mtu msomi au mwenye maisha flani.

Kusafiri kumfuata mpenzi ni kawaida tena inakuwa sehemu ya kubadili mazingira na kupunguza stress za maisha.
 
Back
Top Bottom