Nilichogundua wanaume wengi wa JF hawatumii kondom, wanapenda 'Unprotected Sex'

Nilichogundua wanaume wengi wa JF hawatumii kondom, wanapenda 'Unprotected Sex'

Wanaume 3 wa Jf? Huu jamani jasili uliutoa wap? Unawaamini vip watu wa Jf akujuwe tena zaidi ya mmoja? Ikitokea wakakusema mabaya utajuwa ni nani?
 
Ingawa uwiano wa maambukizi ya HIV inaonyesha wanawake ndio walioambukizwa zaidi kuliko wanaume, ila nimegundua wanaume wanacheza rafu sex sana.

Mwaka 2018 January nilkutana na mwanaume humu, tukakubaliana kuwa wapenzi, yeye akiishi Dodoma Mimi nikiwa Bukoba. Siku ya kwanza ku-sex naye, hakutaka kutumia kondom, nilimlazimisha atumie maana tulikuwa hatujapima, lakini aligomagoma mpaka tukaahirisha, ingawa alikuwa analalama usiku huo kumnyima, nikamwambia haina haja ya kulalama.

Asubuhi alienda kutafuta kondom akaja tukasex lakini katikati ya gemu nikashtukia anatoa kuwa inamchelewesha kumaliza, sikutaka kupinga ikabidi niache tu amalize.

Baada ya hapo niliumia sana kufanya mapenzi bila kondom na bila kujua hali ya mwenzangu.

Sikutaka kurudiana naye tena, hadi ikaisha miezi 3 nikaenda kupima nikajikuta nipo salama, nikampa sharti la yeye kuendelea na mimi ni kupima, akakataa mahusiano yakafa.

Mwaka 2019 Machi nilkutana na kaka mmoja humu wa Dar, akaniomba tuwe kwenye mahusiano, nikaenda Dar lakini cha ajabu tuli-sex bila kinga na hatukupima, nikamuachia Mungu, ila nikavunja mahusiano baada ya kugundua ana mahusiano na mwanamke mwingine wa humu tunayefahamiana.

Mwingine akaja PM nikamwelewa wa huko huko Dar, nikamfuata. Huyu tuliingia hotel, kisha chumbani. Nikauliza kama ana kondom akasema hana, nikamwambia inabidi tulale mzungu wa nne mpaka asubuhi tukapime, tukishajua hali zetu nipo radhi kukaa hapa hotelini wiki nzima.

Akakubali kesho yake tungepima, kumbe hiyo kesho akatoweka, hakutaka tuonane, nikarudi zangu mkoani.

Nilichojifunza wanaume wengi wa JF wame-risk maisha yao kuhusu HIV.

Nimewahi kumuuliza mwanaume mmoja humu wa JF kwa nini wanaume wengi mnakuwa na kondom mfukoni lakini inapofika kwenye sex hamtumii zile kondom?

Alichonijibu ni kuwa ni kweli Dada, kinachotokea ni kuwa unaweza ukawa na dhamira ya kutumia kondom lakini wakati mpo chumbani, uzuri wa kasura, umbile, chuchu na mapaja na hata huko nyuma pameumuka vizuri; ile dhamira ya kutumia kondom hutoweka, hujitoa kula nyama nyama kwa sababu hatafaidi uzuri alio uona.

Ndo maana siku hizi sitaki wanaume PM.

Wanaume wa JF take care, wengi muna shule kichwani lakini mnadharau sana matumizi ya kondom na kuchek afya zenu.
Unagawa mno kapochi manyoya kako...[emoji3][emoji3] Wanawake ndio maana rahisi kupata ngoma kwakua mnasex bila ridhaa yenu peku tena some times kwa kulazimishwa...

Nipe namimi nionje maanaa unagawa gawa..
 
Yule dada aliyevaa sweta la bendera ya taifa yukwapi [emoji3][emoji3] maana aliachwa guest na buku tatu arudi mwanza [emoji3][emoji3] jamaa akasema anaenda kununua vocha ndio ikawa mazima
 
Wanatafuta ATTENTION.
Chai hii....halad ww na yule mwenzako lazima mtakua mtu mmoja.Maana nyote mlipotea hapa kat halaf kwa pamoja mmerud na kupanfisha nyuzi ambapo ndani ya contant kila nyuz ina mrefer mwenzake.
Ww umem refer maghala na yy kapindisha nyuz anakuzungumzia ww.
Is it a coisedence????
 
Nimeshangaa mimi wanavyomshangaa mtoa mada kusafiri kufuata mabeb zake kama vile ni kitu cha ajabu sana amekifanya.
Tusiwe wepesi kuhukumu.
Amekuambia wakipewa nyama wanakula na kukimbia au anawakimbia kwa kuogopa mahusiano ya kutofanya ngono salama.
Ni kweli yeye kama binadamu ana udhaifu flani wa kupenda kirahisi huenda inatokana na tamaa ya kuolewa na mtu msomi au mwenye maisha flani.

Kusafiri kumfuata mpenzi ni kawaida tena inakuwa sehemu ya kubadili mazingira na kupunguza stress za maisha.
 
Kwenye tangazo lako umesahau bei , yaani unauza shilling ngapi ukijumlisha na nauli yako.
Yaani jf tuu umepuyanga kiasi hiki huko mtaani khali sijui ipo vipi?[emoji22]
Tafuta kazi au biashara itakayokupa mahitaji yako hizo 7800 hazitakufikisha popote
Hahahaha,Hahahaha
 
Jf inataka kuwa kama badoo
Kama mambo ni haya mbona hata Badoo cha mtoto? Mtu unaukwaa UKIMWI kupitia JF dah! Maisha yako yote ukisikia jina la Mello unakunja uso...

Ila mabinti wa humu dah! Hata umpende vipi ukija kuchunguza tu kidogo unakuta yaani anaburuzwa na mabaharia vibaya sana; hata kugeuzwa mchepuko na majamaa yaliyooa. Hovyo kabisa !!!
 
Nani kakwambia kondom zinazuia ukimwi? Watu wanakuja na test pack wanakupima ngwengwe halafu wanapaka ky mwanaume unateleza tu kokote. Na we kushinda na wanaume wa mitandao kwani huko bukoba hamna wanaume?
huyu yaonekana kaliwa na wanaume wa karibia mikoa yote
 
Back
Top Bottom