Nilichogundua wanaume wengi wa JF hawatumii kondom, wanapenda 'Unprotected Sex'

Tangu lini watatu wakawa wengi? Labda kama anazungumzia watatu kwa mwezi...

Kuna kabinti hapa nakahifadhi jina naona kanamchamba mleta mada wakati mimi babu yenu nina ushahidi kameshabanduliwa na njemba kama 6 hivi za hapa JF. Mi simo lakini maana ilitokea kwa bahati mbaya tu...
Me nawaangalia tu hapa na unafiki wao
 
We tumia mbinu kama yangu..Mimi nikimtaka manzi wa humu natumiaga Id nyingine ambayo huwa najifanya mfanyabiashara wa kusafirisha bidhaa kutoka nchi mbalimbali kama China, Dubai nk. Kumbe kiuhalisia mimi nauzaga majeneza na vumbi la Congo hapa Dodoma na sijawahi hata kutoka nje ya nchi.
Ila kwa hiyo Id fake nimefanikiwa kuwala mademu kadhaa humu Jf tena mmoja nilimtongozaga kwa hii Id oliginal akanitosa mpaka nikaanzisha uzi humu lakini bado akazingua eti hawezi kudate na muuza majeneza nikasema poa nikazama na Id mpya full kuposti mada za magari akawa hajastuka ndani ya siku chache nikamwibukia Pm akatoa namba nikaanza kula mzigo japo nilimwacha baada ya kugundua anapenda sana hela.!
Ila mpaka leo bado nawatafunaga humu kwa mbinu hiyo
Wewe mbaya aiseeeee
 
Inaonekana wewe kigezo ni kondomu tu unaachia mzigo
Ingawa uwiano wa maambukizi ya HIV inaonyesha wanawake ndio walioambukizwa zaidi kuliko wanaume, ila nimegundua wanaume wanacheza rafu sex sana.

Mwaka 2018 January nilkutana na mwanaume humu, tukakubaliana kuwa wapenzi, yeye akiishi Dodoma Mimi nikiwa Bukoba. Siku ya kwanza ku-sex naye, hakutaka kutumia kondom, nilimlazimisha atumie maana tulikuwa hatujapima, lakini aligomagoma mpaka tukaahirisha, ingawa alikuwa analalama usiku huo kumnyima, nikamwambia haina haja ya kulalama.

Asubuhi alienda kutafuta kondom akaja tukasex lakini katikati ya gemu nikashtukia anatoa kuwa inamchelewesha kumaliza, sikutaka kupinga ikabidi niache tu amalize.

Baada ya hapo niliumia sana kufanya mapenzi bila kondom na bila kujua hali ya mwenzangu.

Sikutaka kurudiana naye tena, hadi ikaisha miezi 3 nikaenda kupima nikajikuta nipo salama, nikampa sharti la yeye kuendelea na mimi ni kupima, akakataa mahusiano yakafa.

Mwaka 2019 Machi nilkutana na kaka mmoja humu wa Dar, akaniomba tuwe kwenye mahusiano, nikaenda Dar lakini cha ajabu tuli-sex bila kinga na hatukupima, nikamuachia Mungu, ila nikavunja mahusiano baada ya kugundua ana mahusiano na mwanamke mwingine wa humu tunayefahamiana.

Mwingine akaja PM nikamwelewa wa huko huko Dar, nikamfuata. Huyu tuliingia hotel, kisha chumbani. Nikauliza kama ana kondom akasema hana, nikamwambia inabidi tulale mzungu wa nne mpaka asubuhi tukapime, tukishajua hali zetu nipo radhi kukaa hapa hotelini wiki nzima.

Akakubali kesho yake tungepima, kumbe hiyo kesho akatoweka, hakutaka tuonane, nikarudi zangu mkoani.

Nilichojifunza wanaume wengi wa JF wame-risk maisha yao kuhusu HIV.

Nimewahi kumuuliza mwanaume mmoja humu wa JF kwa nini wanaume wengi mnakuwa na kondom mfukoni lakini inapofika kwenye sex hamtumii zile kondom?

Alichonijibu ni kuwa ni kweli Dada, kinachotokea ni kuwa unaweza ukawa na dhamira ya kutumia kondom lakini wakati mpo chumbani, uzuri wa kasura, umbile, chuchu na mapaja na hata huko nyuma pameumuka vizuri; ile dhamira ya kutumia kondom hutoweka, hujitoa kula nyama nyama kwa sababu hatafaidi uzuri alio uona.

Ndo maana siku hizi sitaki wanaume PM.

Wanaume wa JF take care, wengi muna shule kichwani lakini mnadharau sana matumizi ya kondom na kuchek afya zenu.
 
Kumbe humu kuna maji mara moja kiasi hiki?
Yaani ni hatari😂😂 . Yaani kulala na multiple men mwenyewe haoni shida. Yaani hauongei mengi,unalala nae. Kwa bahati mbaya kama siku ya kwanza huna condom,well, inavumilika! Lakini mahusiano ya kudumu inabidi mpime au kutumia condom! Na ni kweli hata hasemi uongo,hata wake za watu wako hivyo tena ni watu wa kada zote, kuanzia vilaza wa uswahilini mpaka mabosi na maprofesa!
 
Ingawa uwiano wa maambukizi ya HIV inaonyesha wanawake ndio walioambukizwa zaidi kuliko wanaume, ila nimegundua wanaume wanacheza rafu sex sana.

Mwaka 2018 January nilkutana na mwanaume humu, tukakubaliana kuwa wapenzi, yeye akiishi Dodoma Mimi nikiwa Bukoba. Siku ya kwanza ku-sex naye, hakutaka kutumia kondom, nilimlazimisha atumie maana tulikuwa hatujapima, lakini aligomagoma mpaka tukaahirisha, ingawa alikuwa analalama usiku huo kumnyima, nikamwambia haina haja ya kulalama.

Asubuhi alienda kutafuta kondom akaja tukasex lakini katikati ya gemu nikashtukia anatoa kuwa inamchelewesha kumaliza, sikutaka kupinga ikabidi niache tu amalize.

Baada ya hapo niliumia sana kufanya mapenzi bila kondom na bila kujua hali ya mwenzangu.

Sikutaka kurudiana naye tena, hadi ikaisha miezi 3 nikaenda kupima nikajikuta nipo salama, nikampa sharti la yeye kuendelea na mimi ni kupima, akakataa mahusiano yakafa.

Mwaka 2019 Machi nilkutana na kaka mmoja humu wa Dar, akaniomba tuwe kwenye mahusiano, nikaenda Dar lakini cha ajabu tuli-sex bila kinga na hatukupima, nikamuachia Mungu, ila nikavunja mahusiano baada ya kugundua ana mahusiano na mwanamke mwingine wa humu tunayefahamiana.

Mwingine akaja PM nikamwelewa wa huko huko Dar, nikamfuata. Huyu tuliingia hotel, kisha chumbani. Nikauliza kama ana kondom akasema hana, nikamwambia inabidi tulale mzungu wa nne mpaka asubuhi tukapime, tukishajua hali zetu nipo radhi kukaa hapa hotelini wiki nzima.

Akakubali kesho yake tungepima, kumbe hiyo kesho akatoweka, hakutaka tuonane, nikarudi zangu mkoani.

Nilichojifunza wanaume wengi wa JF wame-risk maisha yao kuhusu HIV.

Nimewahi kumuuliza mwanaume mmoja humu wa JF kwa nini wanaume wengi mnakuwa na kondom mfukoni lakini inapofika kwenye sex hamtumii zile kondom?

Alichonijibu ni kuwa ni kweli Dada, kinachotokea ni kuwa unaweza ukawa na dhamira ya kutumia kondom lakini wakati mpo chumbani, uzuri wa kasura, umbile, chuchu na mapaja na hata huko nyuma pameumuka vizuri; ile dhamira ya kutumia kondom hutoweka, hujitoa kula nyama nyama kwa sababu hatafaidi uzuri alio uona.

Ndo maana siku hizi sitaki wanaume PM.

Wanaume wa JF take care, wengi muna shule kichwani lakini mnadharau sana matumizi ya kondom na kuchek afya zenu.
Umeamua ujitangazie biashara kuwa wewe ni chombo!
Haya...tutakutafuta
 
Wakuu mimi naishi Dodoma ila kipindi hicho nilikuwa safari hivyo msinihesabu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nani kakwambia kondom zinazuia ukimwi? Watu wanakuja na test pack wanakupima ngwengwe halafu wanapaka ky mwanaume unateleza tu kokote. Na we kushinda na wanaume wa mitandao kwani huko bukoba hamna wanaume?
Hahahahhahah
 
Sio wa jf tu,wanaume kwa ujumla hatupendi kula toto zuri na maganda.
 
Back
Top Bottom