Nilichojifunza kuhusu JF

Status
Not open for further replies.
Wala simjui vzr, hata humu jf sijazoeana nae kabisaaa. Ila ananitesa nafsi. Ukute upande wa pili ni bonge la chokoraa
 
Nimekuelewa mkuu ila kwa nini hao warembi walijiingiza katika mambo yasiyo wahusu
 
Sasa kuna watu wao wanatafuta watu wa kuwabandua/kubanduliwa, wanakuja kwa pupa mwisho wa siku wanajuta. Binafsi Jf Imenifunza mengi sana..
Hapo ndo wanakosea. Tafuta mtu kama rafiki hayo ya kubanduana yaje baadae. Maana yakija baadae hata mkiachana mtabaki na urafiki uliowaunganisha kwanza. Mkitakana kwa ajili ya kubanduana mkishabanduana story inaishia hapo hasa ukute hamkukolezana vizuri
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…