Nilichojifunza kuhusu JF

Nilichojifunza kuhusu JF

Status
Not open for further replies.
Mmmh nini mama?? Au umefanikiwa kujua upande wake wa pili humu? [emoji23][emoji23][emoji23]. Basi kuna member pia anaandikaga vitu utasema mtoto mdogo ila upande wa pili ni bonge la mtu yani. Yani ni mtu mwenye sura mbili tofauti.

Sema kuna mmoja na mie anavyoandika nikisoma moyo unapiga ti ti ti kwa anavyonikosha. Naogopa nisije tokea kuzoeana nae halafu nikakuta sivyo ninavyomuona
Wala simjui vzr, hata humu jf sijazoeana nae kabisaaa. Ila ananitesa nafsi. Ukute upande wa pili ni bonge la chokoraa
 
Mkuu sijawahi kujihusisha kimapenzi na mdada yeyote wa humu JF..

Pia sina mawasiliano yoyote na mdada yeyote wa humu..

Tatizo langu na Nyani halikuwa ugomvi/wivu wa kimapenzi.. Kulikuwa na ligi ambayo kwa upande wangu hayo mambo nilishayamaliza.. Hao wanawake waliojiingiza kwenye huo ugomvi ndio wakaja kuwa victims baadae jambo ambalo binafsi sikulifurahia..
Nimekuelewa mkuu ila kwa nini hao warembi walijiingiza katika mambo yasiyo wahusu
 
Sasa kuna watu wao wanatafuta watu wa kuwabandua/kubanduliwa, wanakuja kwa pupa mwisho wa siku wanajuta. Binafsi Jf Imenifunza mengi sana..
Hapo ndo wanakosea. Tafuta mtu kama rafiki hayo ya kubanduana yaje baadae. Maana yakija baadae hata mkiachana mtabaki na urafiki uliowaunganisha kwanza. Mkitakana kwa ajili ya kubanduana mkishabanduana story inaishia hapo hasa ukute hamkukolezana vizuri
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom