Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,366
- 14,167
- Thread starter
- #81
Nipm nimwambie kimya kimyaAisee..halafu mwenyewe hata hajui, naumia tu ndani kwa ndani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipm nimwambie kimya kimyaAisee..halafu mwenyewe hata hajui, naumia tu ndani kwa ndani.
Wala simjui vzr, hata humu jf sijazoeana nae kabisaaa. Ila ananitesa nafsi. Ukute upande wa pili ni bonge la chokoraaMmmh nini mama?? Au umefanikiwa kujua upande wake wa pili humu? [emoji23][emoji23][emoji23]. Basi kuna member pia anaandikaga vitu utasema mtoto mdogo ila upande wa pili ni bonge la mtu yani. Yani ni mtu mwenye sura mbili tofauti.
Sema kuna mmoja na mie anavyoandika nikisoma moyo unapiga ti ti ti kwa anavyonikosha. Naogopa nisije tokea kuzoeana nae halafu nikakuta sivyo ninavyomuona
Nadhani umeshanielewa uje unichukue na ile dinga ya serikaliKuna wengine wastarabu kwenye comment wana id 5 ingine ya matusi ingine ya ustarabu namjua mmoja nataman hata nimuweke wazi watu wamuepukeee anatesaaa sana
Kwanini ufe na tai shingoni mamaAisee..halafu mwenyewe hata hajui, naumia tu ndani kwa ndani.
Vizuri sana mm ninaojuana na nyie mnanitosha mnoo yaan sihitaji wengine niliokuwa nao mnanitosha hamzidi wa5 mnajijuaHahahahahaaaaaaa. Nishakuelewa. Sijutii wakunyumba kwa sababu I know how to deal with people.
Subiri kidogo ntakupatia.Afu we mzigua bado nasubiri ahadi yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wala simjui vzr, hata humu jf sijazoeana nae kabisaaa. Ila ananitesa nafsi. Ukute upande wa pili ni bonge la chokoraa
Nani anakujuaSijui nitatajwa...!
Nimekuelewa mkuu ila kwa nini hao warembi walijiingiza katika mambo yasiyo wahusuMkuu sijawahi kujihusisha kimapenzi na mdada yeyote wa humu JF..
Pia sina mawasiliano yoyote na mdada yeyote wa humu..
Tatizo langu na Nyani halikuwa ugomvi/wivu wa kimapenzi.. Kulikuwa na ligi ambayo kwa upande wangu hayo mambo nilishayamaliza.. Hao wanawake waliojiingiza kwenye huo ugomvi ndio wakaja kuwa victims baadae jambo ambalo binafsi sikulifurahia..
Ha haaa itanoga nikimwambia mwenyewe. Tatizo mpole sana nashindwa jinsi ya kumuingia. Natamani tu awe rafiki...Nipm nimwambie kimya kimya
Inadaiwa ana matako makubwa kama ya kwangungabu alikutwa na janga gani?
Amezidi upoleKwanini ufe na tai shingoni mama
Hapo ndo wanakosea. Tafuta mtu kama rafiki hayo ya kubanduana yaje baadae. Maana yakija baadae hata mkiachana mtabaki na urafiki uliowaunganisha kwanza. Mkitakana kwa ajili ya kubanduana mkishabanduana story inaishia hapo hasa ukute hamkukolezana vizuriSasa kuna watu wao wanatafuta watu wa kuwabandua/kubanduliwa, wanakuja kwa pupa mwisho wa siku wanajuta. Binafsi Jf Imenifunza mengi sana..
Wapi huko nimetajwa mama mkwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka sana kuna sehemu ulitajwa bana nikamwambia home boy
Si umwambie sasaAmezidi upole
Bwana ba mkwe nitakwambiaWapi huko nimetajwa mama mkwe
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ha haaa itanoga nikimwambia mwenyewe. Tatizo mpole sana nashindwa jinsi ya kumuingia. Natamani tu awe rafiki...
Umeonaeee maisha haya unatakiwa ujiachie kama ni Mimi anipm siwezi mtangaza hata kama mambo yatabumaKwanini ufe na tai shingoni mama
Exactly..Hapo ndo wanakosea. Tafuta mtu kama rafiki hayo ya kubanduana yaje baadae. Maana yakija baadae hata mkiachana mtabaki na urafiki uliowaunganisha kwanza. Mkitakana kwa ajili ya kubanduana mkishabanduana story inaishia hapo hasa ukute hamkukolezana vizuri