Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa kabisa. Unaijua geography vizuri!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa kabisa. Unaijua geography vizuri!
Ya kunianzishia uziKiki gani tena jamani
Unataka uziYa kunianzishia uzi
Unajua kuna wakati mandishi tunaandika tukiwa katika hali tofauti na uhalisiaNi kweli..lkn ujue ukiwasiliana na mtu kuna picha fulani inakujia na mara nyingi ni tofauti kabisa na uhalisia.
Hahaaaa. Sitaki mieeeeee.
Ndio jf hii rafiki. Tutakuwa ila tutachelewa. Teh teh teh
Ana kisasi huyoooo asije niua bure demiss miye nikamkosa mme wangu mgangaSawa tutaumia kwa sababu ya kimya chako
Wii fungua code jamaniKweli kabisa hasa yule id yake inayoooanzia na herufi kama mojaa asipobadilika na id yakee ileee nyingine ya michezo pendwa atawatesa san wanawake wa Jf
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyuzi za hivi zinachosha jaman hasa comments kila mtu mjanja kila mtu ana watu wake khaaa utoto tu kuweni bwana
Hahaaaa. Huna ya kuyamwaga humu rafiki.Nshafika shosti mie na ubuyu tenaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanawake wa dar banah sio kwa maringo hayo, kwahiyo sisi wa mkoani tukija dar tusihangaike kuwatafuta [emoji57][emoji57][emoji57],ipo siku tuu mtaona umuhimu wetu
Mambo mrembooHahaaaa. Sitaki mieeeeee.
Ndio jf hii rafiki. Tutakuwa ila tutachelewa. Teh teh teh
Nawajua sana tena sanaaaaaa id yake moja inatumikia ban inayooanzia na kama mojaDah upo deep unawajua vizuri.
DaaahNshafika shosti mie na ubuyu tenaa
DodomaKwa hiyo wewe ndio dar
Wala hatutaki tena tutakuja kakikundi tushikane mikono tusije gongwa na mwendokasiHahhahhaha hapana mama angu wala hatuna maringo mkuje tu na mtutafute vizuri sana tutawapokea
Niwekeni mchezaji wa akibaTeam inatosha sana hiyo
Kichwa cha habari na habari yenyewe ni funzo tosha mkuu
Uzi ila ni just eeh kikiUnataka uzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi shunie ile kiki yeti vipi
Wala sio timu mkuuMhhhh timu imekamilika sasa