Ba hao wakuwatuma dunia ingeenda kweli? Huko mbinguni kwenyewe yesu alitumwa sembuse hapa dunianiWatumwa utawajuwa tu, fikra zao daima huwa za kitumwa tu.
Rule ya kazi ni moja tu; jitume usitumwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ba hao wakuwatuma dunia ingeenda kweli? Huko mbinguni kwenyewe yesu alitumwa sembuse hapa dunianiWatumwa utawajuwa tu, fikra zao daima huwa za kitumwa tu.
Rule ya kazi ni moja tu; jitume usitumwe.
Huyo alikuwa hafanyi kazi bali anajionesha kuwa anafanya kazi.Namba 7 kuna mtu alikuwa anafanya kazi kama punda,ofisini anafika mapema kabla hata ya wafanya usafi saa 12 asubuh yumo ndan,wkend jmos na jumapili anaenda wenzio ofisin wkend hawatak kufanya kazi hata wakipewa hela,lakin mpaka leo hajapandishwa cheo ingawaje ana elimu nzur tu,ameishia kupata vihela vi elfu 30