Nilichojifunza kuhusu maisha ya ofisini

Nilichojifunza kuhusu maisha ya ofisini

Namba 7 kuna mtu alikuwa anafanya kazi kama punda,ofisini anafika mapema kabla hata ya wafanya usafi saa 12 asubuh yumo ndan,wkend jmos na jumapili anaenda wenzio ofisin wkend hawatak kufanya kazi hata wakipewa hela,lakin mpaka leo hajapandishwa cheo ingawaje ana elimu nzur tu,ameishia kupata vihela vi elfu 30
 
Huyo alikuwa hafanyi kazi bali anajionesha kuwa anafanya kazi.
 
Back
Top Bottom