Nilichojifunza kuhusu ushauri

Nilichojifunza kuhusu ushauri

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
kichwa cha binadamu ni mithili ya tenki inapokea kila aina ya malighafi na bila kugoma labda ifike kwenye ukomo kulingana na ukubwa wa tenki hilo japokuwa asili ya tenki ni kupokea kimiminika lakini zipo malighafi ambazo huingizwa kwa namna tofauti madhara yake huaribu malighafi hiyo na matumizi yote ya tenki.

nimetumia mfano wa tenki ili tuweze kueleweshana kwa vitendo najua ufahamu ni mfano wa bidhaa pipi zipo product nzuri na mbaya pia wazalishaji ni wengi hivyo inatupaswa tuchague ipi itakuwa ladha au bidhaa nzuri kwa matumizi.

nimejaribu kuomba na kufatilia namna watu wanavyotoa ushauri hapa majukwani na kwenye yangu nje ya mtandaoni na kugundua mambo mbalimbali katika ushauri ila kwa lengo la uzi huu nitakwambia kitu kimoja tu, kwa uzuri nimetoa mfano halisi hapo juu basi najua utajiongeza wakati unapojnaribu kupokea ushauri.

watu wengi wanatoa ushauri kulingana na facts tofauti yaani, mazingira, matokeo, imani na misingi hutufanya kutoa ushauri ila sasa matokeo ya ushauri ndiyo yatakayotoa mrejesho au kufaulu au kufeli kwa ushauri licha ya kupewa ushauri naomba sana ujaribu kuangalia background za mshauri na namna gani amekushauri coz kama ikitokea anaekushauri;

i.Mlevi basi tegemea asilimia 80 ya atakachokwambia ni lazima kuwe hitilafu za ulevi.

ii. washirikina asilimia nyingi utaelekezwa kwa waganga na kukudumaza katika uadui wa kimazingara.

iii.wizi ushauri utabase kwenye upande huo

iv. wanasaikolojia n.k ni vizuri kuangalia aina ya ushauri utakaopokea kabla ya kuchulia hatua stahiki wapo waliofanikiwa na wapo waliofeli kwa ushauri.

Siku njema
 
Back
Top Bottom