social_science
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,106
- 1,260
Demu uki ignore anakupenda zaidi wakwangu naweza mjulisha jiandae tutoke out dakika za mwisho namwambia rudi nimehairisha,ananipenda sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee kuna kitu umenikumbusha nimecheka sana kama mazuri vileIla ujue hao wanawake DNA zao sio sawa wote.
Kimsingi ni kumsoma kuwa anataka nini. Kuna wengine hawapendi kukoromewa na kutawaliwa. Wanataka uhuru na hapo wanakuwa happy na upendo mwingi. Ukimtawala sana anaona kero na anaona kama ni wivu wa kijinga.
Japo kweli hata mimi kwa uzowefu wangu mdogo nimeona wanawake wanapenda mwanaume uwe dominant. Kuna mmoja nilikuwa nae kila nikiongea kitu anajibu 'hamna'.
Nilimzaba kofi moja akalia nikambembeleza tukawa sasa nikiongea angalau anajibu kitu. Nahisi masikio yake yalikuwa yameziba kwahiyo lile kofi liliyazibua.
Atakumwaga muda c mrefu subir ampate anayetimiza ahadi.. Tena za outing wanavopenda balaaDemu uki ignore anakupenda zaidi wakwangu naweza mjulisha jiandae tutoke out dakika za mwisho namwambia rudi nimehairisha,ananipenda sana.
Nahuja wewe unapenda udekezwe?au ukolomewe?kha!
Sometimes inabidi uonyeshe wewe ni mwanaume japo kihalisia sina moyo wa kikatili wala huwa sitamani hata siku moja kumpiga mwanamke.hahahaa aisee.. ulitisha Chalii
ulete mrejesho!demu wangu nampa vitasa vya uso, akili ndo inamkaa vzr.
Bonge la Point Ndugu!Kikubwa zaidi ..n kuishi naye kwa kumuonyesha kua hata akitaka Ku move on ..kwako haipinguzi kitu
Daah kweli hujanielewaMbona mie sielewi elewi sasa hapo???
Wao ukiwauliza wanasema wanapenda wanaume wapole wachesi, ambaye anajiamini, sasa na ww unasema vingine......
*Labda huyo mpenzi wako ndo anapenda ww uwe bondia
Asante saaana!Ni kwelii kuna muda nikikoromewa nasikia raha fulani hivi
Uhalisia mtupu!Demu uki ignore anakupenda zaidi wakwangu naweza mjulisha jiandae tutoke out dakika za mwisho namwambia rudi nimehairisha,ananipenda sana.
Lakini kama utakuwa na Kumbukumbu nilsema sihamasishi watu kuachana!Sasa mkuu wewe juzijuzi si ulikuwa unashari watu waachane na mapenzi, bado hakujakucha umeleta thread?
Mkuu Maji ya Kuoga saihivi yanawekewa hadi viungo!kwa hiyo mkuu umepewa ile kitu ambayo ulikua hupewi??