Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Juzi kanishikia kisu nimechelewa kurudi,,hiyo kibano nilitembeza ni cha mbwa koko!!ni mara yangu ya kwanza kumpiga...nilipiga hadi watoto wakaamka ndio ikawa pona yakee..Amani ya bwana Mungu iwe pamoja nanyi Ndugu Zangu!
Katika harakati za mahusiano kila mtu amepata uzoefu wake wa namna moja ama nyingine, kwa uzoefu wangu katika mahusiano nimegundua jambo moja ambalo vijana wengi wa kizazi hiki wanashindwa kukigundua!
Mpenzi wangu ni mwanamke niliyemdekeza sana, nafanya anavyofeel akaja kuniona fala akaanza kuleta wenge na kuonesha kama hisia zake kwangu zimepungua siku moja usiku akaniletea wenge, nilimmind vibaya sana nikampa wiki moja ya kujifikiria na asinitafute katika muda huo!
Kesho yake simu nyingi, sms nyingi ananibembeleza, akaanza kunipa ambavyo hata nilikuwa sipati, unagundua nini hapa? hapa unajifunza kwamba mwanamke hataki mahusiano ambayo yapo cool muda wote anataka mwanaume ambaye anaweza kumgombeza na hata kumkoromea.
Mwanaume mwenzangu asikudanganye mtu wanawake wanapenda mwanaume anayeweza kudominate mwanaume mwenye sauti!.. ukijifanya mpole na mtakatifu mwanamke anachukulia uhusiano wenu kama Boring hivi!..
Jifunze au jiwekee utaratibu wa kumkoromea mwanamke wako kila baada ya kipindi fulani hitamdhihirishia mwanamke kuwa wewe ni mwanaume mwenye sauti, anayeweza kuongoza na Huongeza Mvuto wako kwake!
Your Elder Bro!
Santana
comment za wanawake ndio zina uzito kwenye nyuzi kama hizi zinazowahusu.comment za wanaume ni kama story za kwenye vijiwe vya bodaboda na kahawa...Mwanaume hatakiwi awe mpole sanaa ,tunapenda kujaliwa ,kupendwa,kupewa kipaumbele,sasa mwanaume gani hata ukifanya kosa hakukaripiii wa nini sasa,lakin mi kwangu nikioneshwa kupendwa tu nazidi kupenda maradufu
Sent from my SM-T230NU using JamiiForums mobile app
18 wanaingiaga wenyeweKuna ka ukweli! hebu dadavua zaidi umkoromee from no where?
Lazima ujue kubalanceTaken, ukiwa harsh kupitiliza utamfanya akimbie kuwa harsh kwa kiasi