Nilichojifunza kuhusu wanawake wanapenda mahusiano ya kutawaliwa

Exactly..ukitaka kuish poa na mwanamke usiwe unaeleweka eleweka sana ..some times chukua action za kumshangaza yaan anakua haelewi wew ni mtu wa aina gan..some time show love to extent..yaan asikuelewe maana akikuzoea sana utaisoma namba
 
Ila ujue hao wanawake DNA zao sio sawa wote.

Kimsingi ni kumsoma kuwa anataka nini. Kuna wengine hawapendi kukoromewa na kutawaliwa. Wanataka uhuru na hapo wanakuwa happy na upendo mwingi. Ukimtawala sana anaona kero na anaona kama ni wivu wa kijinga.

Japo kweli hata mimi kwa uzowefu wangu mdogo nimeona wanawake wanapenda mwanaume uwe dominant. Kuna mmoja nilikuwa nae kila nikiongea kitu anajibu 'hamna'.

Nilimzaba kofi moja akalia nikambembeleza tukawa sasa nikiongea angalau anajibu kitu. Nahisi masikio yake yalikuwa yameziba kwahiyo lile kofi liliyazibua.
Hahahahaha mimi namzaba kofi then nasepa kubababake
 
Mbona mie sielewi elewi sasa hapo???

Wao ukiwauliza wanasema wanapenda wanaume wapole wachesi, ambaye anajiamini, sasa na ww unasema vingine......

*Labda huyo mpenzi wako ndo anapenda ww uwe bondia
They say that but they dont mean it.
 
Ni kwelii kuna muda nikikoromewa nasikia raha fulani hivi
Sasa Mama Sabrina nyinyi njisia ya kike mbona nashindwa kuwaelewa kwa kweli Wanawake hivi wenyewe huwa wanataka nn hasa? Da mnaipa wakati mgumu sana naomba unisaidie kama ndugu yako nyinyi huwa mnapenda nn hasa? Nisaidie kimawazo hapo 😁😁😁😁😁😁 da wanawke ni kitabu sio siri
 
Sasa Mama Sabrina nyinyi njisia ya kike mbona nashindwa kuwaelewa kwa kweli Wanawake hivi wenyewe huwa wanataka nn hasa? Da mnaipa wakati mgumu sana naomba unisaidie kama ndugu yako nyinyi huwa mnapenda nn hasa? Nisaidie kimawazo hapo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] da wanawke ni kitabu sio siri
Mwanaume hatakiwi awe mpole sanaa ,tunapenda kujaliwa ,kupendwa,kupewa kipaumbele,sasa mwanaume gani hata ukifanya kosa hakukaripiii wa nini sasa,lakin mi kwangu nikioneshwa kupendwa tu nazidi kupenda maradufu

Sent from my SM-T230NU using JamiiForums mobile app
 
Kumbe Mwanamke ni sawa na Mtoto au anatakiwa awe na malezi naisi itakuwa hivyo na ndo maana me nina girlfriend Wangu nishamsoma ni kama mtoto hivi Kuna wakati huwa nakuwa Mkali hasa kuna muda tena namtuliza kiufupi naisi mnampenda mpole lakinj pia awe mkali fulani hivi awe adominate fulani hivi sijui kama nimepatia hapo
 
Yap mi kuna kipindi namchokoza kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Ha ha ha Wanawake mmenishinda tabia alafu Pia sijui kama ni sawa kwamba 1 Mwanaume ndo anaweza kumshape mke wake tabia?
2 Alafu Mwanaume akiwa mkali sana hapo vip au inatakiwa awe kwa kiasi kila sehemu?
Namba 2 ukali hautakiwi kuzidii inadepend na kosa
 
Kujisifia kupiga wanawake ni ujinga tu,mwanamke ni kumpenda na kumbrain wash,blackmail kama mapadri wanavyofanya na kumpa lectures na kuwa unpredictable,kupiga unampiga na ukuni tu na maneno deep.
 
Ila ujue hao wanawake DNA zao sio sawa wote.

Kimsingi ni kumsoma kuwa anataka nini. Kuna wengine hawapendi kukoromewa na kutawaliwa. Wanataka uhuru na hapo wanakuwa happy na upendo mwingi. Ukimtawala sana anaona kero na anaona kama ni wivu wa kijinga.

Japo kweli hata mimi kwa uzowefu wangu mdogo nimeona wanawake wanapenda mwanaume uwe dominant. Kuna mmoja nilikuwa nae kila nikiongea kitu anajibu 'hamna'.

Nilimzaba kofi moja akalia nikambembeleza tukawa sasa nikiongea angalau anajibu kitu. Nahisi masikio yake yalikuwa yameziba kwahiyo lile kofi liliyazibua.
"Nilimzaba kofi moja" huu ni ukatili wa kijinsia, haukubaliki.
 
Mbona mie sielewi elewi sasa hapo???

Wao ukiwauliza wanasema wanapenda wanaume wapole wachesi, ambaye anajiamini, sasa na ww unasema vingine......

*Labda huyo mpenzi wako ndo anapenda ww uwe bondia
😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom