Nilichojifunza kuhusu wanawake wanapenda mahusiano ya kutawaliwa

Aiseee kuna kitu umenikumbusha nimecheka sana kama mazuri vile
 
Demu uki ignore anakupenda zaidi wakwangu naweza mjulisha jiandae tutoke out dakika za mwisho namwambia rudi nimehairisha,ananipenda sana.
Atakumwaga muda c mrefu subir ampate anayetimiza ahadi.. Tena za outing wanavopenda balaa
 
Sasa mkuu wewe juzijuzi si ulikuwa unashari watu waachane na mapenzi, bado hakujakucha umeleta thread?
 
Mwanamke usipomzaba kofi/kwenzi atakupanda kichwani. Na ukiruhusu akupande kichwani jua familia inasambaratika.
 
hahahaa aisee.. ulitisha Chalii
Sometimes inabidi uonyeshe wewe ni mwanaume japo kihalisia sina moyo wa kikatili wala huwa sitamani hata siku moja kumpiga mwanamke.

Ila kuna wakati unafika unaona kabisa huyu anataka angalau umpige labda ana machozi mengi anataka yapungue. Hivyo inabidi kumsaidia tu.
 
Mbona mie sielewi elewi sasa hapo???

Wao ukiwauliza wanasema wanapenda wanaume wapole wachesi, ambaye anajiamini, sasa na ww unasema vingine......

*Labda huyo mpenzi wako ndo anapenda ww uwe bondia
Daah kweli hujanielewa
 
Sasa mkuu wewe juzijuzi si ulikuwa unashari watu waachane na mapenzi, bado hakujakucha umeleta thread?
Lakini kama utakuwa na Kumbukumbu nilsema sihamasishi watu kuachana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…