Nilichojifunza kusafiria Pikipiki safari ndefu

Nilichojifunza kusafiria Pikipiki safari ndefu

X_INTELLIGENCE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
10,400
Reaction score
14,339
Mwaka Jana nilijaribu kwenda masafa marefu na piki piki ilikuwa BOXER 125 nilienda shinyanga nilitumia masaa zaidi ya 12 maana nilitoka dar es salaam alfajiri nikafika shinyanga jioni kwenye saa 1 hivi kasoro...! Boxer kidogo barabarani ilikuwa inayumba Nategemea kwenda Shinyanga kwa pikipiki aina ya Boxer, CC 125
images (1).jpeg

Mwaka huu hivi karibuni nikaamua kubadilisha usafiri nikatumia Tvs hizi toleo jibya wanaziita TVS HLX 5G hizi pikipiki nilikuwa sizielewi ila kwakweli mfumo wake ni mzuri japo kwa mbali ukikosea kuzipanga gia vizuri Ina mtetemo ila ni kwa mbali sana...na gia ukizipatia kuingiza inatulia inakuwa kama baiskel vile...Ina kuwa nyepesi na haiyumbi au kupepesuka barabarani.
BLUE-web.png

Angalizo ukiwa unataka kutumia usafiri wa piki piki kwa masafa marefu...​
  1. Mwaga oil​
  2. Kuwa na spana za akiba.​
  3. Mafuta hayana shida sana maana shell zipo Kila Kona. Ila ukibebab kidumu Cha mafuta walau Cha lita 5 chenye mafuta ya imagance sio mbaya.​
  4. Beba balbu ya taa ya mbele.​
  5. Usithubutu kusafiri na piki piki jioni...mwisho wa kusafiri na piki piki ni saa 12 jioni. Kigiza kikianza kuingia barabara kubwa inakuwa hatari sana...madereva wasio na akili Wana washa headlight itakavyo kufanya upoteze uelekeo.
    images (2).jpeg
    hivyo ni Bora ukathitisha safari Giza likiingia.​
  6. Vaa sulualu zaidi ya Moja barabarani Kuna bari sana. Vaa hata jinzi Tatu.​
  7. Vaa masharti ya mikono mirefu hata mawili pamoja na jaketi zito la ngozi.​
  8. Vaa viatu haswa mabuti yatakayo kufanya uibane suluali.​
  9. Badilisha oil Yako mwanzo wa safari...!​
  10. Usilazimishe ku over take mabasi​
  11. Nenda mwendo wa kawaida tu speed 80...ila kama uoni wako ni mzuri unaweza kwenda zaidi ya speed hiyo ila kwa uangalifu mkubwa.
    images.jpeg
    kwakweli sijutii kabisa kusafiria Pikipiki nilikuwa naogopa sana kutumia pikipiki zenye cc mdogo ila sio hatari kama Wanavyo dai...nili enjoy sana safari za pikipiki.​
 
Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    43.4 KB · Views: 16
imagance ni nini maama yake?? emmergence ni dharura hiyo yako ulimaanisha nini naneno sulualu ni kitu gani au misemo mipya mjini
Kipi haujelewa hapo , Elimu iliyotolewa hapo ni muhimu Sana hizo typing errors ni jambo la kawaida

Mada Kama imekuzidi uzito Unasoma then Una mute

Jf hakuna MTU anajifunza Kusoma

WTF
 
Mwaka Jana nilijaribu kwenda masafa marefu na piki piki ilikuwa BOXER 125 nilienda shinyanga nilitumia masaa zaidi ya 12 maana nilitoka dar es salaam alfajiri nikafika shinyanga jioni kwenye saa 1 hivi kasoro...! Boxer kidogo barabarani ilikuwa inayumba Nategemea kwenda Shinyanga kwa pikipiki aina ya Boxer, CC 125
View attachment 3135103
Mwaka huu hivi karibuni nikaamua kubadilisha usafiri nikatumia Tvs hizi toleo jibya wanaziita TVS HLX 5G hizi pikipiki nilikuwa sizielewi ila kwakweli mfumo wake ni mzuri japo kwa mbali ukikosea kuzipanga gia vizuri Ina mtetemo ila ni kwa mbali sana...na gia ukizipatia kuingiza inatulia inakuwa kama baiskel vile...Ina kuwa nyepesi na haiyumbi au kupepesuka barabarani.
View attachment 3135112

Angalizo ukiwa unataka kutumia usafiri wa piki piki kwa masafa marefu...​
  1. Mwaga oil​
  2. Kuwa na spana za akiba.​
  3. Mafuta hayana shida sana maana shell zipo Kila Kona. Ila ukibebab kidumu Cha mafuta walau Cha lita 5 chenye mafuta ya imagance sio mbaya.​
  4. Beba balbu ya taa ya mbele.​
  5. Usithubutu kusafiri na piki piki jioni...mwisho wa kusafiri na piki piki ni saa 12 jioni. Kigiza kikianza kuingia barabara kubwa inakuwa hatari sana...madereva wasio na akili Wana washa headlight itakavyo kufanya upoteze uelekeo.View attachment 3135121hivyo ni Bora ukathitisha safari Giza likiingia.​
  6. Vaa sulualu zaidi ya Moja barabarani Kuna bari sana. Vaa hata jinzi Tatu.​
  7. Vaa masharti ya mikono mirefu hata mawili pamoja na jaketi zito la ngozi.​
  8. Vaa viatu haswa mabuti yatakayo kufanya uibane suluali.​
  9. Badilisha oil Yako mwanzo wa safari...!​
  10. Usilazimishe ku over take mabasi​
  11. Nenda mwendo wa kawaida tu speed 80...ila kama uoni wako ni mzuri unaweza kwenda zaidi ya speed hiyo ila kwa uangalifu mkubwa.View attachment 3135133kwakweli sijutii kabisa kusafiria Pikipiki nilikuwa naogopa sana kutumia pikipiki zenye cc mdogo ila sio hatari kama Wanavyo dai...nili enjoy sana safari za pikipiki.​
Vipi kuhusu matumizi ya mafuta kwa safari yako nzima ilikuwa Tshs ngapi?
 
Back
Top Bottom