Nilichojifunza kusafiria Pikipiki safari ndefu

Nilichojifunza kusafiria Pikipiki safari ndefu

Pikipiki ya cc 125 - 150 inaenda Dar hadi Shinyanga kwa kuanzia asubuhi mpaka jioni bila kuchemsha?

Kama ni kweli inawezekana wanaosema Passo ya cc 990 haiwezi wanakua wanamaanisha passo mbovu
Jini Kisiranii
Mimi nimeenda... hakuna kuchemsha Wala nini...! Last week nimeenda handeni, Tanga kwenda na kurudi siku hiyo hiyo
 
Kuna pikipiki halafu kuna tukutuku....

Mimi pia ni mdau mkubwa wa haya madude na siyaogopi hata, ila napenda yale manene halafu mapana, likianguka pekeyako hulinyanyui...😅

Halafu owe bomba mbili, hapo na suti yangu ya leather na kofia kuubwa nafika Joberg bila hiyana.
View attachment 3135188

View attachment 3135189

View attachment 3135190

View attachment 3135191

Namna hiyo...😋😋😋

View attachment 3135193


Boda mpaka boda...😉
Hiyo ni gari na nusu...!
 
Siyo masaa mkuu ilipaswa utumie siku 1 na masaa kadhaa!
Masaa 24? 🤣🤣🤣🤣 Niliendesha maximum speed 90 kwa saa hivyo niliutendea haki muda...harafu Kuna muda kama wa masaa 4 nilipata watu wanao endesha pikipiki kama yangu walikuwa wanaenda mwendo wa Kasi kinouma hivyo walinishawishi kufukuzana...!​
 
Upo sahihi ila kwenye muda apo umetupiga mkuu...

Mimi natumia zile kubwa cc 200....Km 85 adi 90 natumia Lisaa 1 [1hr] apo speed nacheza na 80 adi 100...

Kwa boxer au tvs 150 labda masaa 20...umejitahidi sana masaa 15 dar-shy na apo ujasimama kupumzika wala kupata msosi kidogo.
-----------------

Usafiri wa pikipiki ni mzuri sanaa,hasa ukiwa unaendesha kwa mapenzi yaani unapenda kitu kipo kwenye damu,utaenjoy sana.

Pia ni usafiri wa hatari sana,hasa kama una matatizo ya kiafya (pressure,msongo wa mawazo,au uoni hafifu)....ukiwa barabarani na pikipki muda wote akili iwe active.

Napenda sana zile pkpk kubwa cc 200 na kuendelea afu nyuma ufunge mzigo wa kg 10 au 15......sipendi kubeba mtu labda iwe tu dharura.
 
Back
Top Bottom