Nilichojifunza kwa Rais Mteule Ruto na Hayati Rais Magufuli, kwa Mungu kila kitu kinawezekana

Inawezekana ni Game lilipangwa Ruto na Kenyatta...... System inaweza tengeneza jambo....

Watanzania wenzangu Tujiandae kuhesabiwa...sensa ya watu na makazi 23august 2022
 
Kutwa kwa waganga na wapiga BAO halafu wapumbavu mnasema alikuwa mcha Mungu.

Angekuwa mcha Mungu asingeiba uchaguzi wa 2020
 
jiwe alikuwa mtumishi wa mungu....na siyo MUNGU..
 
jiwe alikuwa mtumishi wa mungu....na siyo MUNGU..
 
Umemaliza mkuu,[emoji120][emoji120]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hatari sana ngoja tuone cheche za RUTTO
 
Mungu ampitishe Fisadi Ruto kuwa Rais? Hivi unajua mgombea mwenza wa Ruto mwezi uliopita tu amekutwa na hatia ya kuiba mabilion Nairobi county kwa tenda hewa!!

Tuache kumuingiza Mungu kwenye siasa, JPM hakua mcha Mungu same to Ruto ni fisadi na subirini mwaka uishe mtakuja kukana haya maneno yenu
 
Ruto apinge ufisadi? Hivi mnamjua Ruto nyie au ndio fuata upepo? Tuache mihemko Ruto Hana jipya, miaka 10 kma Makamu amefanya nini la maana zaidi ya kampeni na kuhonga makanisani!!
 
Mcha Mungu hawezi kuzuia Maalim Seif asipewe matibabu eti kisa mpinzani!! Mcha Mungu hawezi kummiminia risasi mpinzani wake afu anamnyima matibabu!! Mungu hadhihakiwi, ndio maana Lissu Yuko hai alafu huyo ibilisi yupo kuzimu!! Mcha Mungu ni kama Mabeyo mpaka kaandika vitabu vya maombi sio huyo ibilisi wenu
 

Nimecheka vibaya, kwahiyo kuhudhuria kwenye nyumba ya ibada ndio ucha Mungu? Nijuavyo mimi kumcha Mungu ni matendo kuliko kuhudhuria kwenye nyumba ya ibada.
 
Ruto apinge ufisadi? Hivi mnamjua Ruto nyie au ndio fuata upepo? Tuache mihemko Ruto Hana jipya, miaka 10 kma Makamu amefanya nini la maana zaidi ya kampeni na kuhonga makanisani!!

Uko sahihi kabisa, huyo Ruto namfananisha na watu kama Lowassa, Mwigulu nk.
 
Mungu asihusishwe na hizi pumba.. mwacheni keshakuwa mzee sasa.. fikiria tokea amalize kuumba mbingu na dunia, anahitaji mapumziko. Hao unaowaita wacha Mungu ni masheitwan wakubwa sana.. Jiwe aliiba uchaguzi wa 2020.. tunashukuru Mungu alisikia kilio chetu wanyonge, akaamulia ugomvi ule.. na wote tuitikie Aaameeen!
 
Hivi MTU anafanyaje mlinganisho wa mambo ya Mungu na ya siasa.huo ni uwendawazimu.
 
Tatizo kubwa la uchaguzi wa kenya alikuwa ni odinga ...five time anagombea bila mafanikio....na mahakamani juuu..'


.uhuru kamtia changa la macho kajaa ...ndo basi tena baba care ...akapumeike
 
Hawa wana siasa sio waku wa amin

Na mm nimeshangaa yale mafuriko ya Odinga siku ana kwenda kutangaza Nia ya kuchukua fomu , kulifanyika mkutano mkubwa sana ktk kiwanja karasani ,sijui nyayo

Na mpaka mtoto wa Odinga anaitwa Winnie huyo akasema ataolewa siku baba yake akiwa prezident sasa naona ndoto ya binti yule imeyeyuka
 
Wakenya waliogopa ya TANZANIA kama Odinga angefia madarakani. Pili UHURU na Ruto lao moja wamemchezea mchezo Odinga kama walivyocheza Kabila na Tsesekedi.
 
Kwenye Mungu huwa wanajifichia tu utawala wa Ruto hautokuwa tofauti na utawala wa Moi. Moi ndie menta wa Ruto, wajiandae tu kulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…