Ha ha ha pole sana mkuu..Mkuu nimeshakutana na Member wengi humu Mkuu kuna Mwingine alikuja na Bajaji hata Kabla hajashuka nilivyomuona sikuamini ikabidi nianzishe safari ya dharura ili tu asiagiza hata kinywaji chochote
Jana nimenunua castle lite nimeishia kuimwagaNjoo tunywe
Nilikuwa tayari kutoa msaada...a helping hand[emoji16][emoji16][emoji16][emoji13]Nimepata kwa kiasi fulani
Nina kiasi kwa sasa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jamani mbona haukuja mapema mie nimeteseka hivyo....Nilikuwa tayari kutoa msaada...a helping hand[emoji16][emoji16][emoji16][emoji13]
Ukishakaa vema urudi kuwapa vidonge vyao tehUsiwaseme wadada au wanawake wa jf sema na wanaume wa jf,kuna wanaume wana tabia mbaya sana jf lakin kwa vile ni wanaume wamenyamaziwa ingekuwa wanawake tunafanya mshaongea kama nin,hebu mjitathimini mjue thamani ya wanawake,wazoeeni wanawake walivyo,tukianza chambuana humu mtabaki midomo wazi
Kuna watu humu wana stress wanakuja zitolea humu,kuna watu full majigambo wakati kiuhalisia hakuna kitu kabisa ,kuna wanaume waongo humu jf walifaa waishi sayari yao wanadanganya mpala wanajisahau
Ngoja nikae vyema kwanza
Kwanza mtoa mada anafanana na hao anaowasema sasa sijui hajioni amaUkishakaa vema urudi kuwapa vidonge vyao teh
Afu unaonekana kibonge kwa mbali mkuu [emoji4][emoji4]Siweki kucha bandia mkuu. Ila sina kucha mbaya Kihivyo
Teh teh...@hornet, unatamani wanawake wenzako? Are you lesbow?Jamani mbona haukuja mapema mie nimeteseka hivyo....
Naomba nisaidie kuacha kuwapenda wanawake wenye makalio
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Afu unaonekana kibonge kwa mbali mkuu [emoji4][emoji4]
Sabina mama, mbona unaongea kwa hisia sana..!!Kwanza mtoa mada anafanana na hao anaowasema sasa sijui hajioni ama
Umalaya wao humu kuwabadili wanawake kama nguo hawasemi na hawana haya ,,na sisi tulivyo wajinga tunakubali kupangwa dah[emoji22][emoji22][emoji22]
Kuna dada mmoja anavidole vizuri kama hivi hadi nimekumbuka mkuuAfu unaonekana kibonge kwa mbali mkuu [emoji4][emoji4]
Uliumia na nini kwa hicho kidole ya peteAfu unaonekana kibonge kwa mbali mkuu [emoji4][emoji4]
Kwahiyo unaona sifaMkuu nimeshakutana na Member wengi humu Mkuu kuna Mwingine alikuja na Bajaji hata Kabla hajashuka nilivyomuona sikuamini ikabidi nianzishe safari ya dharura ili tu asiagiza hata kinywaji chochote
Kwani hicho kipimo cha banana hakipo bestie.... tena zile ndizi sukari kutoka kiabakari.... [emoji2] [emoji2] [emoji2]
....hahaha umenichekesha, nakumbuka uliandika unapenda "kuzama", now I see[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji13]Hapana nawapenda tu
Kamenona hadi raha...Siweki kucha bandia mkuu. Ila sina kucha mbaya Kihivyo
Ngoja nikapashe kidogo nilikuwa na castle light... ngoja leo nijaribu chui mweupe [emoji4] [emoji4] [emoji4]Njooni tunywe tule halafu tulewe