Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,302
- 7,815
Mwenye rangi ya udongo, mwenye smile kubwaaaa, kibonge flan amazingAaah bw. Wote mpo mabonge nitahisiaje ss? Elekeza hata kwa mafumbo nitaelewa.
Mhhhh,mume gani huyo wa kutangazwa mitandaoni? Acha zako weweMme wangu hiyooo
Fireeeeee
Ila vidole vyangu virefu vyako vifupi hivi....[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Hakuna mbaya!?Kawaida tu
Itabidi umtafute ukumbushie mapigo mkuu....Kuna dada mmoha anavidole vizuri kama hivi hadi nimekumbuka mkuu
Unaonekana we mtamu sana sema ndo hivyo ulishanibania walah!!Siweki kucha bandia mkuu. Ila sina kucha mbaya Kihivyo
Kuna mtu hajui kuwa hio avatar ni Robin Fenty?Hilo jina ni langu ila avatar sio mie wala
Kaka hukunichek,Jf moja ya njia kuwa humu Ni kufake I'd Mimi nawapongeza kwa kufanikisha hilo.
Nilijichoma sindano bahati mbaya... wakati nafanya treatment but mwanaume kukosa scar haipendezi [emoji4] [emoji4] [emoji4]Uliumia na nini kwa hicho kidole ya pete
Mkuu wewe ni ke/me tafadhari...Itabidi umtafute ukumbushie mapigo mkuu....
Hafu wa mwanamke wewe ha ha haaaaNapita Kwa uchungu na majonziii
Wacha nilie tu uuuuuuuu nalia tu jaman uuuuuuuuuu
Nalia sanaaaa
Ndo maana akauliza, hajui labdaKuna mtu hajui kuwa hio avatar ni Robin Fenty?
Weka picha ya chura roho yangu ipone! Njoo 777 nimekuandalia moja naona imeisha hio.Siweki kucha bandia mkuu. Ila sina kucha mbaya Kihivyo
Katakuwa kana maji mengi sana haka....Kamenona hadi raha...
Huu mkono ni wa kazi kwa kweli!!
Mkuu usisahau hii ni jf, haina tofauti na kijiwe cha kahawa hasa jukwaa kama hili pendwa..Huu uzi hauna uhalisia.
Ukiachana na avatar ambazo zinafahamika kabisa kwamba sio sura halisi za watu,Sijawahi narudia tena Sijawahi kuona mwanamke anajisifu humu kuhusu GARI,NYUMBA AU KAZI!
INGAWA KUNA WANAWAKE HUMU WANA KAZI NZURI,ELIMU NZURI,MAKAZI MAZURI ,NYUMBA ZAO NZURI AU ZA KUPANGA NZURI KABISAAAA.
Mwanamke anakanmizwa kila mahali hamna jipya.
mnataka tuwe wazuri nyie wazuri?
Eti wao wazuriii Ahhahahaaahah, hawajioni kabisaHuu uzi hauna uhalisia.
Ukiachana na avatar ambazo zinafahamika kabisa kwamba sio sura halisi za watu,Sijawahi narudia tena Sijawahi kuona mwanamke anajisifu humu kuhusu GARI,NYUMBA AU KAZI!
INGAWA KUNA WANAWAKE HUMU WANA KAZI NZURI,ELIMU NZURI,MAKAZI MAZURI ,NYUMBA ZAO NZURI AU ZA KUPANGA NZURI KABISAAAA.
Mwanamke anakanmizwa kila mahali hamna jipya.
mnataka tuwe wazuri nyie wazuri?
Umemaliza kila kitu mkuu.......ila jipange kwa mapovuWengi wao ni frustration ya kimahusiano
1. Hawajaolewa
2. wametendwa sana
3. wameolewa ila kwa sasa wanajutia ndoa zao especially kwa waliokosea kuolewa na mtu sahihi(mume ampendaye)
4. shida za kimaisha yaani kuna maisha yao waliyopenda wawe wanaishi ila maisha ya halisia ni magumu au tofauti hivyo wao hupendelea zaidi kuishi ktk fantasies badala ya reality.
5. stress za makazini tu au kuSeek attention ya watu.
Tuwe tunawapa attention nzuri dada zetu, mama zetu, viumbe wote hawa wakike wasipopata attention ya watu wanaowapenda family etc matokeo yake ndio hayo wanajijengea fantasies humo wakiamini kuwa watakuwa na furaha, wanajipa moyo huko. Hakuna mwanamke asiyetaka kupendwa iwe na nduguye, kk, dada, mama etc hata na mumewe n.k
Women wana emotions sana ukitaka kuwapata huhitaji swagger wala pesa, just care for their emotions, how they feel etc she will leave everything just for you hata miss chaga aliyekubuhu kwa kupenda hela unaweza kumpata tu this way, mpe your time, care her needs, emotions, be concerned ataanza kuishi real life mwenyewe tu.
Kavua pete fasta fastaUliumia na nini kwa hicho kidole ya pete
Mwishowe utasema ana mguu kama wa kwakoMapaja hayo....[emoji39] [emoji39] [emoji39] anyway uko na vidole na kucha kama za kwangu mkuu....