Nilichojifunza kwa wadada wa JF

Nilichojifunza kwa wadada wa JF

Siweki kucha bandia mkuu. Ila sina kucha mbaya Kihivyo
363bcf99bb56f04200c6ee23414eb4f1.jpg
Unaonekana we mtamu sana sema ndo hivyo ulishanibania walah!!
 
Huu uzi hauna uhalisia.
Ukiachana na avatar ambazo zinafahamika kabisa kwamba sio sura halisi za watu,Sijawahi narudia tena Sijawahi kuona mwanamke anajisifu humu kuhusu GARI,NYUMBA AU KAZI!
INGAWA KUNA WANAWAKE HUMU WANA KAZI NZURI,ELIMU NZURI,MAKAZI MAZURI ,NYUMBA ZAO NZURI AU ZA KUPANGA NZURI KABISAAAA.
Mwanamke anakanmizwa kila mahali hamna jipya.
mnataka tuwe wazuri nyie wazuri?
 
Mkuu usisahau hii ni jf, haina tofauti na kijiwe cha kahawa hasa jukwaa kama hili pendwa..
relax
 
Huu uzi hauna uhalisia.
Ukiachana na avatar ambazo zinafahamika kabisa kwamba sio sura halisi za watu,Sijawahi narudia tena Sijawahi kuona mwanamke anajisifu humu kuhusu GARI,NYUMBA AU KAZI!
INGAWA KUNA WANAWAKE HUMU WANA KAZI NZURI,ELIMU NZURI,MAKAZI MAZURI ,NYUMBA ZAO NZURI AU ZA KUPANGA NZURI KABISAAAA.
Mwanamke anakanmizwa kila mahali hamna jipya.
mnataka tuwe wazuri nyie wazuri?
Eti wao wazuriii Ahhahahaaahah, hawajioni kabisa
 
Wengi wao ni frustration ya kimahusiano
1. Hawajaolewa
2. wametendwa sana
3. wameolewa ila kwa sasa wanajutia ndoa zao especially kwa waliokosea kuolewa na mtu sahihi(mume ampendaye)
4. shida za kimaisha yaani kuna maisha yao waliyopenda wawe wanaishi ila maisha ya halisia ni magumu au tofauti hivyo wao hupendelea zaidi kuishi ktk fantasies badala ya reality.
5. stress za makazini tu au kuSeek attention ya watu.

Tuwe tunawapa attention nzuri dada zetu, mama zetu, viumbe wote hawa wakike wasipopata attention ya watu wanaowapenda family etc matokeo yake ndio hayo wanajijengea fantasies humo wakiamini kuwa watakuwa na furaha, wanajipa moyo huko. Hakuna mwanamke asiyetaka kupendwa iwe na nduguye, kk, dada, mama etc hata na mumewe n.k

Women wana emotions sana ukitaka kuwapata huhitaji swagger wala pesa, just care for their emotions, how they feel etc she will leave everything just for you hata miss chaga aliyekubuhu kwa kupenda hela unaweza kumpata tu this way, mpe your time, care her needs, emotions, be concerned ataanza kuishi real life mwenyewe tu.
Umemaliza kila kitu mkuu.......ila jipange kwa mapovu
 
Back
Top Bottom