Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dume tena kauzu balaa mkuu....Mkuu wewe ni ke/me tafadhari...
jf hii, haiaminiki
Shemeji na we una maisha fake khaah!!Maisha ya mtandaoni na maisha halisi yabidi yatofautiane.... Ndomana ya kutumia fake IDs
Pole mwayaNilijichoma sindano bahati mbaya... wakati nafanya treatment but mwanaume kukosa scar haipendezi [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Tuna fake kila kitu mpaka duduKwanza mweka uzi angeedit atuambie na wanaume huwa wanafake nini.
Hapana mkuu nilipenda vidole vyake tu....Mwishowe utasema ana mguu kama wa kwako
cc [TAG]Mzigua90[/TAG]
Ahsante soon kitakuwa poa tu bestiePole mwaya
HahahaKavua pete fasta fasta
Ha haha ufake ndo ujanja awamu hiiShemeji na we una maisha fake khaah!!
humu kuna wanamme wazuri sana duniani kote hamna!!!Eti wao wazuriii Ahhahahaaahah, hawajioni kabisa
Sio kwamba avatar yako ina resemble muonekano wako?Kwa hiyo mbaya kwake kwa mwingine ni cutie... Wacha hiyo avatar yangu ibaki tuu hapo
Mimi hunipi pole?[emoji13]Pole mwaya
Salamu zako atakuwa ameziona mm nipo ushirombo.... Yeye sijui hata anakaa wapi?Katamu sana, cheki unono wa shina la dole gumba, naiona papuche ilivyo shiba..
msalimie huko mlipo Mzigua90
Niko kwenye maombi mazito....hahaha umenichekesha, nakumbuka uliandika unapenda "kuzama", now I see[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji13]
Hata mtaani hawapo Wapo jf tu kwi kwiiiii kwiihumu kuna wanamme wazuri sana duniani kote hamna!!!
Hahaa mkuu nataka kutangaza nia na wewe nikutie ndani ule maisha.....Kavua pete fasta fasta
Mkuu vidole soft sana ivo aisee.. unajua wanatumia reference ya vidole kukadilia hali ya dushe!!Dume tena kauzu balaa mkuu....
Kwa mbaaaaaaaliSio kwamba avatar yako ina resemble muonekano wako?