Maaslkofu ni wanasayansi?
Wewe mbwa acha kutukania viongozi wa dini, nwanaharamu mkubwa wewe, achana na dini za watu wewe mbwa. Huwezi kukashifu dini yaa mtu kwa maslhi yako wewe kibwengoMatapeli ya dini hayo mkuu! Hayana imani yoyote mimi siku hizi siwaikilizi kabisa najijua mwenyewe tu na dini yangu!
Kamwuulize Gwajima!Maaslkofu ni wanasayansi?
1. Unakumbuka serekali iliandika write up na ikachukua hela za wafadhili kupambana na Korona ambayo mnasema haipo? Nayo ni kibaka?Wanufaika hizo dini kubwa wanawinda pesa za wafadhili wa chanjo ya Corona kwenye hospital zao wanataka wawaibie kupitia chanjo na pesa za misaada za kupambana na corona hewa...
Je mtu anapokojoa mende, mara amekohoa nyoka na anatoa ushuhuda kanisani, je, kwa imani hiuo corona itapita kona gani?Imeandikwa usimjaribu Bwana Mungu wako. Hivi ukishauriwa na Wataalam kuwa usijenge nyumba mabondeni nawe ukakaidi eti Mungu ataikinga nyumba yako dhidi ya mafuriko. Hapo ndiyo kumjaribu Muumba wako.
Andiko lina uzito wa mfuko wa cementKwahiyo sayansi haikuletwa na Mungu ??
Jf kuna watu mnajua mambo hadi mnakera.. ..Kwahiyo sayansi haikuletwa na Mungu ??
Je, kama Mungu anapaswa kufanya directly mwenyewe ni Kwanini haya matukio hayakuwa hivi...
Ukisikia utapeli kwenye dini njoo Tanzania.
Nilichojifunza kwenye Corona Tanzaia viongozi wengi wa dini kubwa za Kikristo hawamwamini Mungu wanaamini sayansi na sio Mungu wanayemsingizia kuwa aliwaita wamtumikie...
Magufuli yupo vizuri kakataa huo ujinga wa hawa wazungu eti tutangaze tuna korona tukae lockdown,kenya walijifanya kukaa lockdown kukawashinda,uholanzi wananchi wanaandamana hawataki tena kufungiwa ndani.Ukisikia utapeli kwenye dini njoo Tanzania...
SIO TULIMUOMBA WAO HAWAJAMUOMBA NDIO UPEKEE WETUWatanzania hatuna upekee wowote kiasi eti Mungu atuondoshee sisi tu Corona halafu waja wake wengine wafe tu kwa maradhi hayo hayo Mungu hawezi kufanya upendeleo huo, naamini Corona ilikuwa bado ipo
Mpaka leo hakuna mtu aliyeweza kuthibitisha Mungu yupo.Ukisikia utapeli kwenye dini njoo Tanzania.
Nilichojifunza kwenye Corona Tanzaia viongozi wengi wa dini kubwa za Kikristo hawamwamini Mungu wanaamini sayansi na sio Mungu wanayemsingizia kuwa aliwaita wamtumikie.
Kuamini Mungu kuwa aweza Saidia vita dhidi ya Corona kumebaki Kwa waumini wa kawaida yaani walei wakiongozwa na mlei Rais Magufuli.
Viongozi wengi wakubwa wa dini za Kikristo wamemtelekeza Mungu kwa walei wao wametimkia kwa wanasayansi.
They believe in scientists not God. Hii kali ya mwaka! Role ya Mungu katika nchi na katika changamoto wameitupilia mbali na kuwaweka wanasayansi kuwa superior kuliko Mungu wakati mwanasayansi aliyebobea kwenye usomi wa sayansi Dk Magufuli anamtukuza Mungu wao waliokariri elimu wanayoita ya Mungu wanatukuza wanasayansi. NI UTAPELI
Hata kama nimeokotwa porini.Wewe una uhakika gani kuwa mama yako aliyekuzaa ni huyo na kuwa hukuokotwa porini baada ya kutelekezwa na mama yako halisi