Nilichojifunza kwenye kisa Cha mtalaka wa Arnold yule gwiji wa terminator , wanawake wameshindikana

Nilichojifunza kwenye kisa Cha mtalaka wa Arnold yule gwiji wa terminator , wanawake wameshindikana

mwanyaluke

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2015
Posts
904
Reaction score
2,987
Nilikuwa nasoma kisa Cha mke wa anord yule gwiji wa filamu za mapigano na kijeshi , ambaye walishi na anord miaka 25 ,anakiri kuzaa na mfanyakazi wake wa ndani nimechokaa, na eti anaumia Kwa kuachwa Kwa talaka, aisee ustaaa wote ule wa anord kapigiwa, nawaza tu hapa Kwa nini Mandela aligoma kumsamehe Winnie Mandela, kwa nini Paulo, yesu hawakuoa huenda Kuna ziada sana ya walivyoviona kwa wanawake,nimejikuta namwangalia mke wangu Kwa akili ya tofauti Leo.

Hawa wake za watu tunaopiga kumbe kuna viashiria tunaweza kuwa tunapigiwa

Screenshot_20250326-185700.png
 
Hiyo mbona nyepesi, Kuna mwamba alikaa na mke Miaka 51.
Na ktk Miaka hiyo 51, mwanamke amezaa Watoto 3 na wote sio wa mume wake.
Mchizi ilibidi kwenda kuandaa hati ya Taraka, DNA imeprove kua Watoto wote sio wake
Pia Kuna kisa kingine mshikaji, kaowa mke.
alafu huyo mwanamke Watoto wawili amezaa na mshikaji mwingine anaitwa Saidi....
Sasa, Sasa yule mwanamke akaugua uchizi
Baada ya Miaka kupita Saidi akaugua amefariki mwaka Jana, siku ya Msiba wake, pamoja na uchizi alikua nao huyo mwanaumke alienda ktk Msiba wa Saidi, na anaongea kwa kupaza sauti, nimekuja kumzika Mzazi mwenzangu, anawataja Watoto aliozaa nae Saidi na ukimcheki Marehemu Saidi na hao Watoto wanaotajwa, wamefanana kinoma Kila Kitu, kuongea, kutembea unaweza zani Watoto ni mapacha....
NOTE: Ogopa sana Kiumbe Mwanamke, hata mke ulie nae anajua ukweli wote wa hao Watoto unaovimba nao mtaani kua ni wako.
 
Hiyo mbona nyepesi, Kuna mwamba alikaa na mke Miaka 51.
Na ktk Miaka hiyo 51, mwanamke amezaa Watoto 3 na wote sio wa mume wake.
Mchizi ilibidi kwenda kuandaa hati ya Taraka, DNA imeprove kua Watoto wote sio wake
Pia Kuna kisa kingine mshikaji, kaowa mke.
alafu huyo mwanamke Watoto wawili amezaa na mshikaji mwingine anaitwa Saidi....
Sasa, Sasa yule mwanamke akaugua uchizi
Baada ya Miaka kupita Saidi akaugua amefariki mwaka Jana, siku ya Msiba wake, pamoja na uchizi alikua nao huyo mwanaumke alienda ktk Msiba wa Saidi, na anaongea kwa kupaza sauti, nimekuja kumzika Mzazi mwenzangu, anawataja Watoto aliozaa nae Saidi na ukimcheki Marehemu Saidi na hao Watoto wanaotajwa, wamefanana kinoma Kila Kitu, kuongea, kutembea unaweza zani Watoto ni mapacha....
NOTE: Ogopa sana Kiumbe Mwanamke, hata mke ulie nae anakua ukweli wote wa hao Watoto unaovimba nao mtaani kua ni wako.
Yan nawaambia vijana saivi wakioa wakpata watoto wapime dna kisirisiri kumamakeh wasije kulizwa
 
Nilikuwa nasoma kisa Cha mke wa anord yule gwiji wa filamu za mapigano na kijeshi , ambaye walishi na anord miaka 25 ,anakiri kuzaa na mfanyakazi wake wa ndani nimechokaa, na eti anaumia Kwa kuachwa Kwa talaka, aisee ustaaa wote ule wa anord kapigiwa, nawaza tu hapa Kwa nini Mandela aligoma kumsamehe Winnie Mandela, kwa nini Paulo, yesu hawakuoa huenda Kuna ziada sana ya walivyoviona kwa wanawake,nimejikuta namwangalia mke wangu Kwa akili ya tofauti Leo. Hawa wake za watu tunaopiga kumbe kuna viashiria tunaweza kuwa tunapigiwa
Naamini hujakielewa vizuri hiko kisa. Huyu Bwana Arnold akiwa ndani ya ndoa, alikuwa anamgonga mwanamke mfanyakazi wao wa ndani "house girl" kiasi cha kumtia mimba na kuzaa mtoto. Huyu mtoto wa kiume anaitwa Joseph Baena. Anatumia Ubini wa mama yake hapo kwenye jina. Jaribu kufatilia habari zake. Amefanana sana na baba yake (kama ilivyo kawaida ya watoto wa nje ya ndoa).

Kwa hiyo bwana Arnold alijaribu sana kuficha hili tukio lakini kadiri dogo alivyoendelea kukua, mambo yakadhihirika. Ndio chanzo cha mke wake kuomba talaka. Hapo chanzo ni usaliti wa Bwana Schwarzenegger. Kwa hiyo hapa mke wa Bwana Arnold ndiye anayesikitika kwa uovu aliofanyiwa na mtu aliyempenda hata kumzalia watoto wa nne.

Angalia picha za dogo na baba yake. Copy ya ukweli kabisa ya Mzee Baba Arnold. Halafu naye anapita mule mule alikopita baba yake. Body building mpaka acting.
 

Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    41.2 KB · Views: 33
Nilikuwa nasoma kisa Cha mke wa anord yule gwiji wa filamu za mapigano na kijeshi , ambaye walishi na anord miaka 25 ,anakiri kuzaa na mfanyakazi wake wa ndani nimechokaa, na eti anaumia Kwa kuachwa Kwa talaka, aisee ustaaa wote ule wa anord kapigiwa, nawaza tu hapa Kwa nini Mandela aligoma kumsamehe Winnie Mandela, kwa nini Paulo, yesu hawakuoa huenda Kuna ziada sana ya walivyoviona kwa wanawake,nimejikuta namwangalia mke wangu Kwa akili ya tofauti Leo. Hawa wake za watu tunaopiga kumbe kuna viashiria tunaweza kuwa tunapigiwa
Amini nakwambia, kama kwenye familia mpo 3+ mmoja wenu hajanyooka, damu imechukuliwa pembeni kidogo
 
Nadhani hujakielewa vizuri hiko kisa. Huyu Bwana Arnold akiwa ndani ya ndoa, alikuwa anamgonga mwanamke mfanyakazi wao wa ndani "house girl" kiasi cha kumtia mimba na kuzaa mtoto. Huyu mtoto wa kiume anaitwa Joseph Baena. Anatumia Ubini wa mama yake hapo kwenye jina. Jaribu kufatilia habari zake. Amefanana sana na baba yake (kama ilivyo kawaida ya watoto wa nje ya ndoa).

Kwa hiyo bwana Arnold alijaribu sana kuficha hili tukio lakini kadiri dogo alivyoendelea kukua, mambo yakadhihirika. Ndio chanzo cha mke wake kuomba talaka. Hapo chanzo ni usaliti wa Bwana Schwarzenegger. Kwa hiyo hapa mke wa Bwana Arnold ndiye anayesikitika kwa uovu aliofanyiwa na mtu aliyempenda hata kumzalia watoto wa nne.

Angalia picha za dogo na baba yake. Copy ya ukweli kabisa ya Mzee Baba Arnold. Halafu naye anapita mule mule alikopita baba yake. Body building mpaka acting.
Nimesoma upya upo sahihi ni anord alizingua sana
 
It's all about respect,silaha ya kwanza ya ndoa kudumu ni wanandoa kutunza kiapo cha ndoa yao awe mwanaume awe mwanamke hata ndoa nyingi zinazohisiwa kuvunjika bongo kwa sababu ya wanawake source kubwa huwa sisi wanaume kukataa kubadilika kutokana na mazingira.

Mtu ameoa tena ni mtu mzima miaka zaidi ya 38 but anataka aendeleze uzinzi kama alivyokuwa umri wa balehe 17yrs mwanamke akiiga au akadai ndoa ivunjike wanakuja humu kujaza server na kauli zao ”kataa ndoa kataa ndoa” unamwambiaje mtu kataa ndoa ni mbaya wakati chanzo cha kuvunjika ndoa yako ni wewe mwenyewe kushindwa kuishi kiapo chako?
 
Back
Top Bottom