Nilichojifunza kwenye kisa Cha mtalaka wa Arnold yule gwiji wa terminator , wanawake wameshindikana

Nilikuwa natafuta hii comment nashangaa watu juu hawasomi au sijui ni ushabiki maandazi?kilichoelezwa ni tofauti na watu wanachojadili,ndio maana wanaambiwa wakimaliza Digrii waende Veta.
Hahaha,

Digrii Mtu arudi veta.

Mfumo wa elimu unazidi kuwa mbovu zaiidi.
 
Na h
Nilikuwa natafuta hii comment nashangaa watu juu hawasomi au sijui ni ushabiki maandazi?kilichoelezwa ni tofauti na watu wanachojadili,ndio maana wanaambiwa wakimaliza Digrii waende Veta.
Hii ndio jamii tunayoishi kwa sasa.

Sasa tafiti na experiment kubwa itawezekana kweli.??

Uvivu, kukosa umakini, na uzembe ni janga kubwa.
 
Nilikuwa natafuta hii comment nashangaa watu juu hawasomi au sijui ni ushabiki maandazi?kilichoelezwa ni tofauti na watu wanachojadili,ndio maana wanaambiwa wakimaliza Digrii waende Veta.
Inasikitisha sana kwa kweli.
 
Back
Top Bottom